Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA SADC

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao. (Tarehe 31 Oktoba 2023 Dodoma)

About the author

mzalendo