Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Uncategorized

WAZIRI JAFO, SHIRIKA LA MAZINGIRA LA KOREA WAJADILI TEKNOLOJIA YA USIMAMIA WA TAKA NCHINI

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Shirika la Mazingira la Korea (KEPO) Dkt. Yoon, Young-bong jijini Incheon, Korea Kusini kuhusu ushirikiano katika teknolojia ya usimamizi wa taka. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Shirika la Mazingira la Korea (KEPO) Dkt. Yoon, Young-bong

…………………….. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Shirika la Mazingira la Korea (KEPO) Dkt. Yoon, Young-bong jijini Incheon, Korea Kusini.

Katika mazungumzo yao Dkt. Jafo ameeleza nia ya Tanzania katika kuanzisha ushirikiano kwenye sekta ya utunzaji wa mazingira hususani katika teknolojia ya usimamizi wa taka.

Katika kikao hicho akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura, viongozi hao wamejadili kuhusu kubadilishana uzoefu wa kisera katika upande wa mazingira.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa shirika hilo Dkt. Young-bong amemueleza Waziri Dkt. Jafo kuwa wako tayari kushirikiana na Tanzania katika usimamizi wa taka.

Hivyo, viongozi hao wamekubaliana kuendeleza mazungumzo katika kuelekea hatua za utekelezaji wa ushirikiano huo ambao unatarajiwa kusaidia katika utunzaji wa mazingira nchini Tanzania.

Serikali kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo imeendelea kuibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini Tanzania.

Amesema Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Mpango Kabambe wa Hifadhi ya Mazingira (2022 – 2032) ambayo pamoja na mambo mengine changamoto za hifadhi ya mazingira na hatua za kukabiliana nazo zimeainishwa.

Hali kadhalika Ofisi kwa kushirikiana na wadau imeandaa Mwongozo wa Usimamizi Endelevu wa Taka kwa kuzingatia dhana ya ‘Punguza Uzalishaji wa Taka, Tumia tena na Rejereza‘.

Katika ziara hiyo ya kikazi ya kuimarisha ushirikiano katika masuala ya mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Waziri Dkt. Jafo ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo.

Itakumbukwa kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha diplomasia na mataifa mbalimbali duniani.

About the author

mzalendo