Featured Kitaifa

HABARI PICHA:RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA MAJAJI JIJINI ARUSHA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF) pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Mwaka wa Majaji hao katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kabla ya Mkutano wa Jukwaa la Majaji hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Majaji Wakuu Wastaafu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kabla ya Mkutano wa Jukwaa la Majaji hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi ya picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute wakati wa mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF)wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.    

Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF) uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

Kikundi cha ngoma za Asili kikitumbuiza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

About the author

mzalendo