Featured Kitaifa

MABALOZI WAMUAGA RAIS DK.MWINYI.

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi (kulia) walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani   walipofika kujitambulisha  na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar

Baadhi ya Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika kujitambulisha  na kumuaga Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani   walipofika kujitambulisha  na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Hassan Mwamweta anaeiwakilisha   Tanzania katika Nchi ya Berlin na Ujerumani akiwa ni miongoni mwa  Mabalozi  walipofika kujitambulisha  na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha   Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar  akiwa ni miongoni mwa  Mabalozi  walipofika kujitambulisha  na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 04/10/2023.

About the author

mzalendoeditor