slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

noktabet, noktabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betorbet, betorbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

royalbet

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUHUDUMIA WAWEKEZAJI

Written by Alex Sonna

 Waziri Mkuu Kassim akizindua Mfumo wa Kielektroniki wa kuhudumia Wawekezaji, Mwongozo wa Usajili kwa Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (TeIW – Tanzania Electronic Investment Widow) katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim, akikabidhiwa tuzo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Nchi (OR- Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, wakati alipokagua mabanda, kwenye Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa kuhudumia Wawekezaji, Mwongozo wa Usajili kwa Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (TeIW – Tanzania Electronic Investment Widow) katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim akizungumza kwenye Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa kuhudumia Wawekezaji, Mwongozo wa Usajili kwa Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (TeIW – Tanzania Electronic Investment Widow) katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim akikagua mabanda, kwenye Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa kuhudumia Wawekezaji, Mwongozo wa Usajili kwa Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (TeIW – Tanzania Electronic Investment Widow) katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim akiandika ujumbe binafsi kwenye luninga maalum, wakati akikagua mabanda, katika Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa kuhudumia Wawekezaji, Mwongozo wa Usajili kwa Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (TeIW – Tanzania Electronic Investment Widow) katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim, akipeana mkono na Waziri wa Nchi (OR- Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, wakati alipokagua mabanda, kwenye Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa kuhudumia Wawekezaji, Mwongozo wa Usajili kwa Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (TeIW – Tanzania Electronic Investment Widow) katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

*Umo pia Mwongozo wa Kusajili Watoa Huduma, Kampeni ya Kuhamasisha Uwekezaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mifumo na miuondombinu ya mifumo ili kuboresha ufanisi wa utoaji huduma, utendaji kazi na kupunguza urasimu unaokwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini.

Ameyasema hayo jana usiku (Jumatatu, Septemba 25, 2023) wakati akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji Mahali Pamoja; Mwongozo wa Kuwasajili Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji pamoja na Kampeni ya Uhamasishaji Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

“Kituo cha uwekezaji kimekuwa kikifanya maboresho mbalimbali ili kuongeza kasi ya kutoa huduma. Matokeo ya jitihada zote hizo za kuongeza ufanisi ni pamoja na kuanza kutumika kwa mfumo wa kuhudumia wawekezaji mahali pamoja (Tanzania Electronic Investment Window-TeIW),” alisema.

Alisema kuanza kutumika kwa mfumo huo ni matokeo ya utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara na uwekezaji nchini unaojumuisha maboresho ya sheria, sera na mifumo ya utendaji kazi katika kuhamasisha uwekezaji.

Alisema Kituo cha Uwekezaji Tanzania kimeandaa mwongozo mahsusi wa kusajili Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji ambao umeorodhesha aina za huduma zinatozotolewa na watoa huduma kwa wawekezaji, vigezo vya kuwa mtoa huduma kwa wawekezaji, utaratibu wa kuwasilisha maombi ya kuwa mtoa huduma kwa wawekezaji, mafunzo kwa watoa huduma na ufuatiliaji na tathmini ya watoa huduma hao.

Alisema mwongozo huo umeandaliwa ili kusaidia wawekezaji kufikia malengo yao ya kusajili miradi kituoni hapo na kupata vibali vingine kutoka taasisi, idara na Wakala wa Serikali (MDAs) zilizopo katika eneo la mahali pamoja la utoaji huduma (One Stop Facilitation Centre) kulingana na matakwa ya sheria zinazosimamia utoaji wa vibali na leseni husika.

“Ninawapongeza TIC kwa maono ya kuwa na mwongozo mzuri wa kusajili Watoa Huduma za Ushauri kwa Wawekezaji (Investors’ Service Providers). Naamini mwongozo huu utarahisisha upatikanaji wa vibali kwenye taasisi zilizopo katika eneo la huduma na kuwezesha wawekezaji kufikia malengo yao ya kusajili miradi katika Kituo cha Uwekezaji.”

Aliwapongeza kwa kuanzisha kampeni ya kuhamasisha uwekezaji Tanzania inayolenga kuvutia uwekezaji nchini hadi kufikia dola za Kimarekani bilioni 10 kwa mwaka ifikapo mwaka 2030. “Haya ni maono makubwa, yanahitaji mikakati madhubuti ili kuyafanikisha,” alisisitiza.

 

“Nimeelezwa kuwa matokeo ya kuimarika kwa mifumo ya utoaji huduma katika kipindi cha mwezi mmoja tu, yameongeza idadi ya miradi inayosajiliwa kutoka 25 mwezi Aprili, 2023 na kufikia miradi 52 mwezi Mei, 2023.

Waziri Mkuu alisema kutokana na mafanikio yaliyopatikana ndani ya muda mfupi, ana imani mfumo huo umesaidia kupunguza mlolongo wa maombi kupitia mifumo mbalimbali na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwenye dirisha la mahali pamoja kwa njia ya mtandao bila kufika TIC; kurahisisha upatikanaji wa taarifa na kuwezesha utoaji wa huduma kwa weledi.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na walioshiriki uzinduzi huo, Waziri wa Nchi (OR- Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo alisema kutungwa kwa sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2022, kumefanikisha utoaji wa vivutio maalum kwa wawekezaji mahiri maalum (special strategic investors).

“Tangu kupitishwa kwa sheria hiyo, tumeweza kutoa vivutio kwenye miradi mikubwa 16 ambayo inaendelea vizuri kikiwemo kiwanda cha kutengeneza vioo cha Mkuranga ambacho kilizinduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,” alisema.

Naye Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark Africa, Bi. Monica Hangi alisema amefurahi kushuhudia uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji kwani anaamini utasaidia kupunguza siku za maombi ya wawekezaji ikilinganishwa na ilivyokuwa hapo awali.

 

“Miaka miwili iliyopita, tulikuwa na mwekezaji ambaye alihitaji kutembea kwenye taasisi 12 ili apate vibali anavyostahili na aweze kuwekeza ndani ya nchi. Pia alihitaji kujaza fomu zaidi ya 50 kwa mkono, na akikosea kidogo anaanza upya. Hii ilikuwa inapoteza fursa nyingi na ilichosha wawekezaji.”

“Lakini leo ninayo furaha kubwa kuona kwamba tumepata mfumo unaoweza kupunguza siku na tunatarajia kwa kupunguza siku, tunaweza kuvutia wawekezaji wengi katika nchi yetu. Tunaahidi kuendelea kushirikiana na Serikali na taasisi za Serikali kuboresha huduma kwa wawekezaji. Ninawapongeza sana TIC kwa hatua hii,” alisema.

About the author

Alex Sonna