Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco giriş

spinco

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MBARAWA APIGILIA MSUMARI IDADI YA MABAHARIA WANAWAKE

Written by Alex Sonna

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kusini Pemba (hawapo pichani) wakati alipofungua maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Khadija Khamis kabla ya kufungua rasmi maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake , Mkoa wa Kusini Pemba.

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa  (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira Wizara ya Uchukuzi Bi. Stela Katondo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Wakala wa Meli Nchini (TASAC), Kapteni Mussa Manda baada ya Waziri huyo kufungua rasmi maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake , Mkoa wa Kusini Pemba.

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na Wataalam katika banda la Jeshi la Zimamoto wakati alipotembelea banda hilo katika maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba.

Sehemu ya Wananchi wa Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba.

Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Bi. Stela Katondo akizungumza na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Wakala wa Meli Nchini (TASAC), Kapteni Mussa Manda wakati wa maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba.

Mmoja wa wananchi kutoka Wilayani Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba akipewa maelezo ya shughuli zinazofanywa na Shirika la Wakala wa Meli Nchini (TASAC), na Afisa Mawasiliano wa shirika hilo, Bi. Jeffer Matumba katika maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba.

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto waliokaa) katika picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa Wizara na taasisi za Serikali mara baada ya kufungua rasmi maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani yanayofanyika kitaifa katika Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini Pemba.

………

Serikali imezielekeza taasisi zote zinazosimamia usafiri wa Majini kushirikiana na kuweka mikakati ya kuongeza idadi ya mabaharia wanawake ili kuwapa fursa ya kunufaika na Sekta ya Bahari ndani na nje ya nchi.  

Kauli hii imetolewa Kusini Pemba na Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa wakati alipofungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani na kusema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Mapinduzi Zanzibar inatekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa meli ambapo itakapokamilika mahitaji ya mabaharia yataongezeka. 

‘Leo tunaadhimisha siku ya bahari lakini tukitafuta takwimu hapa tutagundua idadi ya maharia wanawake ni ndogo sana, taasisi husika wekeni mikakati madhubuti idadi hii iongezeke ikiwekana siku za mbeleni tuone mabaharia wanawake kutoka bara na visiwani’ amesema Waziri Mbarawa.

Waziri Prof. Mbarawa ametumia fursa hiyo kulipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Nchini (TASAC) kwa kukamilisha utafiti wa vyombo vya majini uliofanywa kwa kushirikiana na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) kwa lengo la kujua idadi ya vyombo hivyo nchini.

Aidha, Waziri Prof. Mbarawa amesema asilimia 90 ya bidhaa inayosafishwa kupitia njia ya maji inaweza kuimarishwa zaidi kwa kuzingatia sheria na kanuni na matumizi ya teknolojia za kisasa ili kusafirisha mzigo mwingi zaidi na kwa usalama.

Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Khadija Khamis amemuhakikishia Waziri Prof. Mbarawa kuwa Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Wizara ya Uchukuzi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ili kuhakikisha sheria zinazoongoza usafiri wa majini kimataifa zinazingatiwa kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira wa WIzara ya Uchukuzi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Stela Katondo amesema miongoni mwa juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali kwa sasa ni kutoa elimu kwa wadau hususani kwa chagamoto zinazoweza kujitokeza kwa uharibifu unaofanywa kupitia utupaji wa taka ngumu na nyepesi katika bahari na maziwa nchini.

Maadhimisho ya Siku ya Bahari kwa mwaka 2023 yanaadhimishwa kitaifa Mkoa wa Kusini Pemba yamebeba kauli mbiu inayosema “Miaka 50 ya MARPOL Uwajibikaji Wetu Unaendelea’ yafunguliwa 25 Septemba na yanatarajiwa kuhitimishwa 28 Septemba 2023.

PICHA NA WIZARA YA UCHUKUZI

About the author

Alex Sonna