marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

casinoroyal

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

casinowon giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

norabahis

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

casinofast

sahabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

hitbet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

Featured Kitaifa

TARURA YAENDELEA KUIFUNGUA KILOSA KIUCHUMI

Written by Alex Sonna
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa(TAMISEMI) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi Mhe. Denis Londo akielezea namna TARURA inavyoendelea kuifungua kiuchumi jimbo la Mikumi
Barabara ya Ulaya-Kidunda ambayo imerahisisha Wakulima kuweza kusafirisha bidhaa zao kutoka vijijini mpaka kwenye masoko
Box Karavati inayounganisha kata ya Ulaya na Kisanga lililojengwa na TARURA na hivyo kuweza kuwasaifia wananchi kutoka Kisanga kwenda kupata huduma za kijamii kata ya Ulaya na kuondokana na adha ya kupata huduma za kijamii
Kilosa
Imeelezwa kwamba ndani ya kipindi kifupi  kumekuwa na maendeleo katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi katika maeneo ya vijijini na mijini hii inatokana na kazi kubwa ilivyofanywa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa kuunganisha barabara za mijini na vijijini ikiwemo maeneo ya masoko pamoja na maeneo ya uzalishaji.
Hayo yameelezwa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi Mhe. Denis Londo wakati akielezea utekelezaji wa miradi mbalimbali inayofanya na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Kilosa.
Mhe. Londo amesema kuwa  kazi kubwa imefanyika Mikumi na kwa mafanikio makubwa ujenzi wa daraja la Ruhembe lenye urefu wa mita arobaini  kukamilika kwake litasaidia kuwaondolea adha ya usafiri wananchi wa eneo hili waliyokuwa nayo kwa muda mrefu  wakiwemo  wajawazito na wagonjwa waliokuwa  wakienda kupata huduma mbalimbali ng’ambo ya mto huo.
“Daraja hili  ni muhimu sana kwa maisha ya wakazi wa Bonde la Ruhembe, kata za Kidodi na Ruaha kwa sababu linaenda kuwapunguzia umbali kutoka kilomita 32 walizokuwa wakizunguka hapo awali mpaka kilomita 2 kutoka  barabara kubwa kwenda kijijini, pia eneo hili ni mabondeni hivyo  wakati wa mvua barabara zilikua hazipitiki kabisa na kusababisha akiba ndogo ya mkulima kutumika sana kwa ajili ya usafirishaji wa pembejeo  za kilimo na kukamilika kwa daraja hili linaenda kupiga vita adui umasikini” Amesisitiza Mhe. Londo.
Kwa upande wa barabara Mbunge huyo amesema barabara ya kilomita tano kutoka Kidodi kwenda Kidunda imekamilika ambapo kijiji hicho cha Kidunda hakikuwahi kupata barabara tangia uhuru”Milima ya Kidunda ndio ilikua ikilisha eneo kubwa la mkoa hivyo sasa hivi uzalishaji umeongezeka kwani sasa mazao yote yanasafirishwa kwa usafiri mbalimbali na hivyo tunaweza kuona miundombinu hiyo inavyoleta maendeleo na uwekezaji unaongezeka”.
Aidha, amesema barabara ya kilomita 42 kutoka Ulaya kwenda Kisanga upande wa Kilosa ambayo  ilikua haipitiki takribani miaka 20 na sasa inaenda kukamilika na kuunganika kwa barabara hiyo inaenda kumpunguzia mwananchi umbali wa zaidi ya kilomita 75 ambapo alikua akitumia saa tatu na hivyo kukamilika kwa barabara hiyo mwananchi ataenda kutumia nusu saa kufika pia kukosekana na barabara hiyo ilisababisha vifo vingi kwani watu wengi walikua wanachelewa kupata huduma muhimu hususani huduma za afya.
Amesema sasa hivi jimbo la Mikumi linaenda kuunganishwa na ndio fahari kwa wananchi kwani Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kutatua kero kwa wananchi”Kila mmoja anaguswa na hii miradi ya TARURA kwani inashiriki kikamilifu kwa kuhakikisha miundombinu wanayojenga inawagusa kila mwananchi na hivyo kuinua uchumi kwa kuongeza tija katika uzalishaji”.
Hatahivyo amewataka wananchi kulinda miundombinu ya barabara isiharibike ili kuifanya Serikali kuweza kupeleka maendeleo sehemu nyingine kwakuwa wajibu wa mwananchi ni kulinda miundombinu na kuifanya serikali kutumia fedha zake kwa maendeleo mengine.
Naye, Diwani wa Kata ya Ulaya Mhe. Ally Kibati ameishukuru TARURA kwa usimamizi mzuri wa  kukamilisha barabara na ujenzi wa Box karavati la Ulaya-Kisanga ambapo kwa muda mrefu wananchi walikuwa wakipata changamoto nyingi hususani za kusafirisha mazao yao lakini hivi sasa barabara imefunguka na hivyo kuwapunguzia gharama za usafirishaji.
Wakati huo huo Mkazi wa Kata ya Ulaya Steven Mahanga ameipongeza Serikali kwa kuwaletea mradi wa ujenzi wa Box karavati la ulaya-kisanga kwa sababu awali kulikuwa kunatokea mauaji mengi kutokana na kukatika kwa barabara na hivyo kama raia wapo tayari kuilinda miundombinu hiyo ili kupata maendeleo zaidi katika kata yao.

About the author

Alex Sonna