Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI KUENDELEZA USHIRIKIANO BAINA YAKE NA VIONGOZI WA DINI NCHINI

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana,akizungumza na Menejimenti ya Tume ya kurekebisha sheria Tanzania mara baada ya kutembelea Ofisi hiyo na kupokea taarifa mbili za namna Ofisi hiyo inavyotekeleza majukumu yake leo Septemba 22,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu,akizungumza wakati wa ziara ya Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana katika Ofisi ya  Tume ya kurekebisha sheria Tanzania kutembelea Ofisi hiyo na kupokea taarifa mbili za namna Ofisi hiyo inavyotekeleza majukumu yake leo Septemba 22,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Mstaafu Januari Msoffe,akiwasilisha taarifa kwa Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana,mara baada ya kutembela Ofisi ya Tume ya kurekebisha sheria Tanzania  leo Septemba 22,2023 jijini Dodoma.

 Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Griffin Mwakapeje,akizungumza wakati wa ziara ya Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana katika Ofisi ya  Tume ya kurekebisha sheria Tanzania kutembelea Ofisi hiyo na kupokea taarifa mbili za namna Ofisi hiyo inavyotekeleza majukumu yake leo Septemba 22,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya Menejimenti wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana (hayupo pichani) wakati ,akizungumza  baada ya kutembelea Ofisi ya Tume ya kurekebisha sheria Tanzania mara leo Septemba 22,2023 jijini Dodoma.

Na.Gideon Gregory-DODOMA

Waziri wa Katiba na Sheria balozi Dkt. Pindi Chana amewapongeza viongozi wa Dini nchini kwa juhudi zao za kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili na kuahidi kuwa,Serikali itaendelea kushirikiana nao vyema katika kuhakikisha vinatokomezwa katika maeneo yote nchini.

Waziri Chana ameyaeleza hayo leo Septemba 22,2023 Jijini Dodoma alipotembelea Ofisi za Tume ya kurekebisha sheria Tanzania na kupokea taarifa mbili za namna Ofisi hiyo inavyotekeleza majukumu yake.

Amesema katika mashirikiano hayo wanapaswa kuzingatia vyema sheria na taratibu walizojiwekea na wakishindwa kufanya hivyo watakuwa wanafanya jambo ambalo sio sawa na wale waliopewa dhamana ya kusimamia eneo la katiba na sheria watimize wajibu wao.

“Tutaendelea kuwakumbusha watanzania, tutaendelea kutoa elimu tuzingatie taratibu fikiri sehemu ambazo mmejiwekea taratibu lakini mwingine anafanya kazi mwingine anaiba mali alizotafuta mwenzake yaani anaenda anachukua tu hiyo sio sawa, mwingine anapita tu mwingene anachukua panga anamtwanga tu hii haiwezekani tuna taratibu zetu,”amesema Dkt. Chana.

Aidha ameongeza kuwa hawatovumilia watu wanaovunja sheria na kuvikumbusha vyombo vya ulinzi maali popote ambapo watu hawataki kufuatia utaratibu ambao umewekwa wasisite kutoa taarifa.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa katiba na sheria Jaji Mstaafu January Msofe amesema kuwa utafiti kuhusu makosa ya maadili ulibaini kuwa makosa hayo yamekuwa yakiongezeka nchini ambapo mwaka 2021 jumla ya makosa 7601 ya kubaka na kurawiti yaliripotiwa na mwaka 2022 makosa 8413 yaliripotiwa.

“Hata hivyo kesi zinazofunguliwa mahakamani ni chache kuliko zile zinazotolewa taarifa katika vituo vya polisi matharani katika kipindi cha 2021/22 na 2022/23 ofisi ya taifa ya mashtaka ilifungua mahakamani kesi 2980 na 4294 mtawalia za makosa dhidi ya maadili yakiwemo ya ukatili, kubaka, kujaribu kabaka, kurawiti, na kujaribu kurawiti,”amesema Jaji Mstaafu Msofe.

Jaji Mstaafu Msofe ameongeza kuwa taarifa zionesha kuwa kuna kesi kubwa za makosa dhidi ya maadili ambazo hazijaripotiwa katika vyombo husika.

Naye katibu Mtendaji wa tume hiyo Griffini Mwakapeje amesema kuwa jumla ya ripoti zilizowasilishwa serikalini ni 56 na kuongeza kuwa katika kufanya hivyo tume inaweza kufanya uchunguzi wa sheria yoyote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kuiendeleza.

“Kwa kuelekezwa na wewe Waziri au mwanasheria mkuu wa serikali tume inaweza kutoa ushauri wa kisheria au msaada wa kisheria pale inapobidi na inapotekeleza majuku haya tume inaweza kufanya mashirikiano na taasisi nyingine za serikali na binafsi halafu na kutoa taarifa zake,”amesema Mwakapeje.

About the author

Alex Sonna