
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy, Mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Agosti 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy, mara baada ya Mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Agosti 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiagana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy, mara baada ya Mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Agosti 2026.