Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

tambet

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

kingroyal

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

Featured Kitaifa

KOREA KUSINI YAKARIBISHWA KUWEKEZA TANZANIA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiteta jambo na Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mheshimiwa Togolani Mavura, baada ya wasilisho la fursa zilizopo Tanzania wakati wa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Korea Kusini. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban.

Na: Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini.

Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Korea ya Kusini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo nishati na kilimo nchini Tanzania ili iweze kufikia lengo la kuwa na maendeleo endelevu.

Wito huo umetolewa na Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mheshimiwa Togolani Mavura, alipokuwa akitoa wasilisho kuhusu fursa zinazopatikana Tanzania wakati wa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Korea Kusini.

Alisema kuwa Tanzania ni nchi yenye uchumi tulivu, amani na usalama na pia ina jiografia ya kimkakati ambapo nchi sita zinazopakana nayo zinategemea Tanzania kama mlango mkuu wa bahari.

‘‘Tanzania ina ardhi kubwa kufanikisha kilimo endelevu chenye kujali mazingira na ni nchi yenye vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha umeme wa nishati jadidifu isiyochafua mazingira hasa ikizingatiwa kuwa dunia inakabiliwa na mabadiliko ya tabianchi’’, alisema Mhe. Balozi Mavura.

Pia alisema kuwa Tanzania ina madini ya kimkakati ya graphite, nickel na lithium ambayo ndio madini yanayohitajika zaidi katika kuzalisha miundombinu na mitambo ya kuzalisha umeme wa nishati jadidifu.

Aidha, alizungumzia fursa zilizopo katika uchumi wa buluu na bahari ambazo zinaweza kutumiwa na Korea kuja kuwekeza katika maeneo hayo ili kwa pamoja kuweza kufikia maendeleo endelevu.

Alifafanua kuwa kwa upande wa kilimo Tanzania inajielekeza katika maeneo manne ambayo ni uzalishaji wa ngano, mafuta ya kupikia, uzalishjaji wa matunda hasa parachichi, nyama na maziwa ambapo tayari Serikali imewekeza katika mradi wa mashamba makubwa kuwezesha vijana kulima kibiashara (BBT).

‘‘Tanzania ina fursa kubwa ya kuwa shamba la Afrika kuzalisha chakula kwa ajili ya Bara la Afrika ikiwa uwekezaji sahihi utafanyika katika kilimo cha kisasa,’’aliongeza Mhe. Balozi Mavura.

Nchi zilizotoa mawasilisho ni Tanzania, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na Jamhuri ya Ivory Coast.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akimsikiliza Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mheshimiwa Togolani Mavura, alipokuwa akitoa wasilisho kuhusu fursa zinazopatikana Tanzania wakati wa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Korea Kusini.

Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mheshimiwa Togolani Mavura, akitoa wasilisho kuhusu fursa zinazopatikana Tanzania katika sekta ya nishati, kilimo, uchumi wa buluu na Bahari pamoja na utalii, wakati wa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Korea Kusini.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiteta jambo na Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mheshimiwa Togolani Mavura, baada ya wasilisho la fursa zilizopo Tanzania wakati wa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Korea Kusini. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mheshimiwa Togolani Mavura, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina Shaaban. Kushoto kwake ni Kamishna Msaidizi Idara ya Madeni Bw. Nuru Ndile, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Bw. Aboud Hassan Mwinyi, Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje Bw. Melckzedeck Mbise, Kamishna Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade pamoja na maafisa kutoka Wizara ya Fedha, Mjini Busan, Korea Kusini.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – WF, Busan, Korea Kusini)

About the author

Alex Sonna