Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATOA MSAADA UJENZI JENGO LA MOYO MBEYA

Written by mzalendoeditor

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya Shilingi Milion 24.7 kwa Uongozi wa Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya baada ya kukabidhi msaada wa tofali zenye thamani ya fedha hiyo kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika hospitali hiyo 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikabidhi msaada wa tofali zenye thamani ya Shilingi Milioni 24.7 kwa Uongozi wa Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika hospitali hiyo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikagua eneo ambalo linajengwa jengo la upasuaji wa moyo na mishipa ya fahamu katika hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya mara baada ya kukabidhi msaada wa tofali zenye thamani ya Shilingi Milioni 24.7 kwa Uongozi wa hospitali hiyo

About the author

mzalendoeditor