Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AIAGIZA WIZARA YA ARDHI KUPANGA,KUPIMA NA KUMILIKISHA ARDHI KWA UFANISI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko akizungumza  wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha Taifa cha Ubunifu na Mafunzo ya taarifa  za kijiografia kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko (kushoto) akikabidhiwa moja ya vifaa vitakavyotumika katika shughuli za upimaji ardhi nchini, anayemkabidhi ni Balozi wa Korea Kusini nchini, Kim Su Pyo.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wakufunzi Kumi  waliopata mafunzo ya kurusha ndege zisizo na rubani zitakazotumika katika shughuli za upimaji ardhi nchini.

……..

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanyia kwa ufanisi majukumu yake ya msingi ambayo ni kupanga, kupima na kumilikisha ardhi ili kuondoa migogoro ya ardhi inayotokea nchini na kuifanya Wizara husika kuishughulikia mara kwa mara.

Ameyasema hayo tarehe 9 Septemba, 2023 jijini Dodoma wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha Taifa cha Ubunifu na Mafunzo ya taarifa za kijiografia kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa.

“ Kazi za Wizara hii ni tatu, ambazo  ni kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, sasa tujipime na tujitathmini kama katika sekta yetu ya ardhi kazi hizi tunazifanya kwa ukamilifu wake, lipo wimbi la kuweka tension ya Wizara kutoka kwenye Sheria yake au Ilani ya uchaguzi na kugeuka kuwa Wizara ya utatuzi wa migogoro ya ardhi; kuanzia sasa tuwafanye  watanzania wazungumze mipango miji, maendeleo ya makazi na matumizi bora ya ardhi.” Amesisitiza Dkt. Biteko

Ameitaka Wizara hiyo pia kushirikiana na Halmashauri zote nchini ili kazi zifanyike kwa ufanano na hivyo kwa pamoja waweze kuondoa urasimu na  kuondoa migogoro ya ardhi na  hivyo ana imani kuwa Wizara hiyo itamaliza changamoto zilizopo na kuweza kupanga miji ipasavyo na kuimarisha makazi ya watu ili kujenga Tanzania iliyo bora zaidi.

“Wizara hii ni moyo wa shughuli za uchumi hapa nchini, kwani watu wanaofanya shughuli za ujenzi, kilimo, wanaojenga miradi mbalimbali ikiwemo ya gesi asilia, wanategemea Sekta ya Ardhi, pamoja na kazi kubwa iliyofanyika ya kuimarisha sekta hii bado kuna kazi kubwa mbele ya kujiimarisha.”Amesema Dkt. Biteko

Kuhusu kituo hicho alichokizindua, Dkt.Biteko amesema kuwa, ni muendelezo wa hatua zinazochukuliwa na Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuchochea matumizi ya teknolojia katika kuleta maendeleo endelevu na ubunifu hapa nchini.

Amesema kuwa kituo hicho ni muhimu kwani kitaboresha shughuli za upimaji ardhi, uandaaji wa ramani za msingi, ujenzi wa miundombinu, kupanga matumizi bora ardhi pamoja na masuala mengine yanayohusiana na Sekta ya Ardhi. Ametoa wito kwa Wizara na Taasisi zake kupeleka watumishi kwenye kituo hicho ili wapate mafunzo ya ukusanyaji, uchakataji na utumiaji wa taarifa za kijiografia katika kutekeleza majukumu ya taasisi zao.

Ametoa pongezi kwa Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kutoa eneo na jengo kwa ajili ya kuanzisha kituo hicho, pia ameishukuru Serikali ya Korea Kusini kwa kugharamia uanzishaji wa kituo hicho.

Aidha, amewataka wahitimu kutoka Kituo hicho wakafundishe watumishi wengine na wakawe chachu ya mabadiliko ya kiutendaji katika Sekta na kuongeza matumizi ya taarifa za kijiografia nchini.

Hafla hiyo ya uzinduzi wa kituo cha Taifa cha Ubunifu na Mafunzo ya taarifa za kijiografia ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

About the author

Alex Sonna