Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (kulia), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Stephen Dkt. Byabato  (wa pili kulia) na Naibu Waziri  Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt Festo Dugange, bungeni jijini Dodoma Septemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor