Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA  MAAFISA USTAWI WA JAMII NCHINI

Written by Alex Sonna

NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk.Dotto Biteko,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dk.Philip Mpango leo Septemba 6,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum; Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania uliofunguliwa na Naibu  Waziri Mkuu Mhe Dk.Dotto Biteko, kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dk.Philip Mpango leo Septemba 6,2023 jijini Dodoma.

 Mwenyekiti wa Kamati yakudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii,Mhe.Fatma Toufiq,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania ulioanza leo Septemba 6 hadi 7 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deogratius Ndejembi,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania ulioanza leo Septemba 6 hadi 7 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania ulioanza leo Septemba 6 hadi 7 jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobasi Katambi,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania ulioanza leo Septemba 6 hadi 7 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Dotto Biteko (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania ulioanza leo Septemba 6 hadi 7 jijini Dodoma kwa niaba ya Makamu wa Rais Mhe.Dkt.Philip Mpango.

 

Wadau mbalimbali wakizungumza  wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania uliofunguliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Dotto Biteko kwa niaba ya Makamu wa Rais  Mhe.Dkt.Philip Mpango ulioanza leo Septemba 6-7 jijinin Dodoma.

NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk.Dotto Biteko,akiwa katika picha ya pamoja na watoto mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Tanzania kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dk.Philip Mpango leo Septemba 6,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk.Dotto Biteko ametoa maelekezo mahsusi  kwa Ofisi ya Rais, Tamisemi na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum.

Dkt.Biteko ambaye pia ni Waziri wa Nishati ametoa  maelekezo hayo leo Septemba 6,2023  jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa Maofisa Ustawi wa Jamii Tanzania  kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dk.Philip Mpango.

Dkt.Biteko ameitaka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ofisi ya Rais TAMISEMI na wadau wengine ikiwemo ya kuhakikisha kuwa mchakato wa mapitio ya sheria ya mtoto na kanuni zake unakamilika ili kuhakikisha watoto wanapata ulinzi na malezi stahiki.

”Hakikisheni mchakato sheria ya wataalamu wa ustawi wa jamii inakamilika ili kupanua wigo na kusimamia maadili wa utoaji wa huduma za ustawi wa jamii.”amesema Dkt.Biteko

Aidha, Wakurugenzi wa Halmashauri wametakiwa kutenga fedha kwa ajili ya huduma za Ustawi wa Jamii kwa mujibu wa mwongozo wa mipango, bajeti na taarifa za Ustawi wa Jamii.

Vilevile, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wametakiwa kuendelea kutoa ajira kwa maafisa Ustawi wa Jamii ili kusaidia kutoa huduma bora za Ustawi wa Jamii
Dkt. Biteko ameagiza pia kuimarishwa kwa programu ya huduma ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia ili kupunguza athari na changamoto zinazotokea ndani ya familia na jamii.

Agizo jingine lililotolewa ni uwekaji wa mfumo madhubuti wa ufuatiliaji wa makao ya Watoto na Makazi ya wazee ili kuhakikisha malengo ya msingi ya kuanzishwa vituo hivyo yanafuatwa kikamilifu na hayaanzishwi kiholela;
Aidha, Wizara ya Maendeleo ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Wizara za Kisekta pamoja na Wadau wa Maendeleo imetakiwa kufanya tafiti ili kupata taarifa sahihi na takwimu ili kuboresha huduma za Ustawi wa Jamii.

Pia, Wizara ya Afya imeagizwa kuunda kitengo Maalum kitakachoshughulikia uratibu wa huduma za ustawi wa Jamii kutokana na umuhimu wa wataalamu wa Ustawi wa Jamii katika huduma za afya.

Dkt.Biteko amesema, Serikali imeendelea kuipa kipaumbele sekta hiyo kwakuwa imekuwa kimbilio la wananchi wenye uhitaji wa huduma hiyo na kuwahakikishia kutoa ushirikiano muda wowote.
Aidha,amesema sekta ya ustawi wa jamii ikifanya kazi kwa weledi na ufanisi itapunguza mzigo kwa Serikali kwa kuwa changamoto za kijamii zitapungua na fedha ambazo zimetengwa zitatumika katika kuendeleza maendeleo mengine.

Awali Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum; Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka watumishi hao kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili huduma hiyo ya ustawi wa jamii iwafikie wananchi wote ambao wanahitaji, pia amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya..

Naye mwenyekiti wa Maafisa ustawi wa jamii Mkoa Martin Chuwa amesema changamoto ya kuongezeka kwa matatizo ya afya ya akili, ongezeko la mmonyoko wa maadili, migogoro katika ndoa ,migogoro ya familia hupelekea ongezeko la watoto wa mitaani.
Aidha ameiomba wizara na taaisis zinazohusika kuajiri maafisa ustawi kila mwaka ili kupunguza upungufu uliopo.

About the author

Alex Sonna