slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO KATIKA KUIMARISHA MIFUMO NA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII

Written by Alex Sonna
 
Mkurugenzi Mkazi wa Pact Tanzania, Dkt. Levina Kikoyo akipokea tuzo ya umahiri kutoka kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini, Dkt. Doto Mashaka Biteko. Tuzo hii imetolewa na Serikali ya Tanzania kutambua na kupongeza mchango wa Shirika la Pact Tanzania katika kuboresha mifumo na huduma za ustawi wa jamii.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii.
Mkurugenzi Mkazi wa Pact Tanzania, Dkt. Levina Kikoyo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii.

 

Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Hoffman akihutubia washiriki.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano.

 

Sehemu ya maafisa ustawi wa jamii wakifuatilia kwa karibu uzinduzi wa mkutano wao wa mwaka.

 
**
Serikali imesema itaendelea kushirikiana kwa karibu na wadau wa maendeleo ili kuinua ubora wa mifumo na kiwango cha utoaji huduma za ustawi wa jamii nchini. 
 
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Mwaka wa Kiutendaji wa Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. 
 
Mkutano huo uliwakutanisha pamoja maafisa ustawi, wizara za kisekta, na wadau wa maendeleo wanaojihusisha na afua za ustawi wa jamii.
 
Lengo kuu la mkutano huo lilikuwa kutathmini mafanikio na changamoto zinazoikabili sekta ya Ustawi wa Jamii nchini, na kutoa mkakati wa pamoja wa namna ya kutatua changamoto hizo na kuimarisha huduma za ustawi wa jamii kwa wananchi wenye uhitaji.
 
 
Dkt. Biteko aliwaasa wataalam na wadau wa ustawi wa jamii kuendelea kuhudumia wahitaji kwa weledi, uzalendo, na kwa kuzingatia miiko ya utoaji huduma. 
 
Pia, alisisitiza umuhimu wa kutoa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia ili kutibu fikra, hisia na mioyo ya wanajamii ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kujitokeza kutokana na kukosa msaada. 
 
“Mkatumie jukwaa la mkutano huu kujadili mikakati madhubuti ya uboreshaji wa huduma za ustawi wa jamii kwa maslahi mapana ya taifa letu”,alisema.
 
Naye Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, alipongeza juhudi za Maafisa Ustawi wa Jamii katika kujenga jamii jumuishi na zenye kujali watu wenye mahitaji maalum.
 
Serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya kazi na wadau mbalimbali ikiwemo Serikali ya Marekani kupitia miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ACHIEVE unaotekelezwa na Pact pamoja na washirika wake. 
 
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Hoffman ambaye ni Naibu Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya afya alisisitiza kuwa ushirikiano baina ya Marekani na Tanzania utaendelea kuimarisha mifumo na huduma za ustawi wa jamii yenye kujali misingi ya uwajibikaji, unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma, na uadilifu.
 
 
Akizungumza kwa niaba ya wadau watekelezaji wa afua za ustawi wa jamii, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Pact Tanzania, Dkt. Levina Kikoyo, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mradi wa ACHIEVE, alisema, “Dhamira yetu isiyoyumba kwa mifumo imara wa ustawi wa kijamii ni ushahidi wa imani yetu katika jamii ambapo kila mtu ana fursa sawa ya kufanikiwa bila kujali hali zao au utambulisho wao. Dhima hii si tu ni jambo linalofaa kimaadili, bali ni uamuzi wa kimkakati kwa mustakabali wetu kama Taifa. 
 
Kwetu Pact, tunaelewa kuwa nguvu ya mifumo imara na huduma thabiti ya ustawi wa jamii inahusiana moja kwa moja na maendeleo yetu ya kijamii na kiuchumi. Tunapowekeza katika ustawi wa jamii, tunawekeza katika ustawi wa taifa letu. Ndiyo sababu tunasimama kidete, kuimarisha mifumo ya ustawi wa jamii, na kuwajengea ujuzi wafanyakazi katika sekta ya ustawi wa jamii ili waweze kutoa huduma zinazohitajika na wahitaji.”
 
Toka mwaka 2020, Shirika la Pact Tanzania limekuwa likitekeleza mradi wa ACHIEVE unaofadhiliwa na watu wa Marekani kupitia Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kudhibiti UKIMWI (PEPFAR) na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). 
 
Mradi huu unatekelezwa kwa ushirikiano wa karibu na serikali kupitia wizara za mbalimbali kama vile Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wizara ya Afya, na Ofisi ya Waziri Mkuu. Pia, mradi wa ACHIEVE unafanya kazi na halmashauri na asasi za kiraia kutoa huduma za kijamii, kiafya, na kiuchumi moja kwa moja kwa walengwa.
 
Kupitia mradi huu, fedha za kitanzania zaidi ya bilioni 20 zimetumika katika kuboresha mifumo na kutoa huduma ambazo zimewakifika watu zaidi ya milioni moja wa katika kipindi cha miaka mitatu (Oktoba 2020 – Septemba 2023).
 
 Fedha hizi zimetumika kuratibu shughuli za ustawi wa jamii na kununua zana muhimu za kuwezesha utoaji wa huduma za ustawi wa jamii katika mamlaka za kitaifa na serikali za mitaa. Zana hizi ni pamoja na kompyuta, mashine za kupiga chapa na kurudufu, viti, meza, makabati ya kutunzia nyaraka, pikipiki, na magari. 
 
Pia kupitia ushirikiano huu, Pact Tanzania kupitia ACHIEVE wamewezesha uandaaji, uchapaji, urudufu, usambazaji, na uhuishaji wa utekelezaji wa nyaraka mbalimbali za sera, na miongozo ya kimkakati katika kuimarisha mifumo wa ustawi wa jamii. 
 
Mojawapo ya zana hizi ni Mwongozo wa Mpango Kabambe wa Afua za Ustawi wa Jamii unaosaidia halmashauri kupanga, kubajeti, na kuweka maswala ya ustawi wa jamii katika bajeti za Halmashauri, yaani CCSWOP. 
 
Pia, mradi umeendelea kuratibu huduma za ustawi wa jamii na kutoa mafunzo katika ngazi mbalimbali za serikali, ikiwemo uanzishaji wa Kamati za Ulinzi za Wanawake na Watoto.

About the author

Alex Sonna