Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

TUTAENDELEA KUWAUNGA MKONO WADAU WA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa,akizungumza baada ya kushiriki mbio hizo za hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo zilizofanyika leo Septemba 2,2023  katika viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam 

………………………….

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wadau wa sekta binafsi katika jitihada zote za kuimarisha ustawi wa watoto wa Tanzania.

Amesema kuwa Serikali kwa upande wake imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha kunakuwa na ustawi na afya ya mtoto sambamba na kuimarisha upatikanaji wa huduma za elimu kwa watoto wenye ulemavu hapa nchini.

Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Septemba 2, 2023) baada ya kushiriki mbio hizo za hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo zilizofanyika katika viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam ambapo ameisisitiza jamii ishiriki katika ulinzi wa watoto wenye ulemavu kwa kutoa taarifa kuhusu matukio ya ukatili dhidi ya watoto hao.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Serikali imehakikisha hospitali zote za wilaya zinatoa huduma za watoto wachanga ikiwemo huduma ya mama kangaruu (Mother Kangaroo) kwenye vituo vya afya nchini. “Hii ni huduma maalum ya kutunza watoto njiti na wale waliozaliwa na uzito mdogo”

“Serikali inatekeleza utoaji wa huduma ya kumsaidia mtoto mwenye usonji ili aweze kuongea (speech therapy) pia kutoa huduma ya kumsaidia mtoto ili aweze kufanya matendo mbalimbali (occupational therapy)”

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu ametoa wito kwa Watanzania kuweka utaratibu wa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza ambayo kwa sasa yamekuwa tishio kwa jamii yetu. “Jiungeni na vikundi vya mazoezi ili muweze kupata hamasa ya kufanya mazoezi”.

Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa amewataka waandaaji wa mbio hizo waone namna bora ya kufikisha taarifa kwa umma kuhusu matunda ya mbio hizo ili jamii iweze kuhamasika na kuendelea kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mbio za hisani.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo, Dkt. Ibrahim Mwangalaba amesema katika kusherehekea miaka 10 ya kuanzishwa kwa benki hiyo waliamua kuandaa mbizo za hisani kwa lengo la kutafuta shilingi milioni 200 kusaidia vituo viwili vyenye uhitaji maalumu.

“Lengo la Mbio hizo ni kukusanya fedha kwa ajili ya kukarabati majengo ya kituo cha kulea watoto wenye ulemavu wa akili maarufu kama “Mtoni Maalum” cha Dar es Salaam kinachohudumia watoto wenye mtindio wa ubongo, Down Syndrome na Usonji na kununua vifaa vya kusaidia watoto njiti kwenye hospitali ya KCMC iliyopo Moshi, Kilimanjaro.”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa medali ya kumaliza mbio za  hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo na Mkuu wa Kanisa la KKKT,  kwenye viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2023. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank, Dokta Ibrahim Mwangalaba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpatia zawadi ya fedha mshindi wa kwanza kilomita 21 wanawake, Neema Kisuda, kwenye mbio za  hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo na Mkuu wa Kanisa la KKKT, kwenye viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpatia zawadi ya fedha mshindi wa kwanza kilomita 21 wanaume, Michael Kishimba, kwenye mbio za  hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo na Mkuu wa Kanisa la KKKT, kwenye viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mazoezi ya viungo baada ya kumaliza mbio za  hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo na Mkuu wa Kanisa la KKKT, kwenye viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mbio za  hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo na Mkuu wa Kanisa la KKKT, kwenye viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa,akizungumza baada ya kushiriki mbio hizo za hisani zilizoandaliwa na benki ya Maendeleo zilizofanyika leo Septemba 2,2023  katika viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam 

About the author

Alex Sonna