Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu (Uratibu wa Shughuli za Serikali) na Waziri wa Nishati katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Uchukuzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. January Yusuf Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Angellah Jasmine Kairuki kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa ujenzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Anthony Peter Mavunde kuwa Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Stephen Lujwahuka Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. David Ernest Silinde kuwa Naibu Waziri wa Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar t
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. David Mwakiposa Kihenzile kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Judith Salvio Kapinga kuwa Naibu Waziri wa Nishati na, katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dunstan Luka Kitandula kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Godius Walter Kahyarara kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Cyprian John. Luhemeja kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu) katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Prof. Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Mwajuma Juma Waziri kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt. Bernard Yohana Kibese kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Kenya katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Mabalozi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar