slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

jojobet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

meritking giriş

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

tipobet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

tipobet

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

radissonbet

sekabet

grandpashabet

matbet

jetbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WATUMISHI HOUSING INVESTMENTS (WHI) WAPONGEZWA KWA KUJENGA NYUMBA ZENYE UBORA NCHINI

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24,2023 mara baada ya kufanya  ziara yake ya kukagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment(WHI), Dk. Fred Msemwa  kabla ya kuanza ziara yake ya kukagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing ziara iliyofanyika leo Agosti 24,2023.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora ,Ridhiwani Kikwete wakikagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing ziara iliyofanyika leo Agosti 24,2023.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,akiteta jambo na  Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment(WHI), Dk. Fred Msemwa  wakati wa ziara ya kukagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing ziara iliyofanyika leo Agosti 24,2023.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akimuonyesha Mtendaji wa Watumishi Housing Investments (WHI), Dkt. Fred Msemwa namna alivyovutiwa na mojawapo ya nyumba zilizojengwa na Watumishi Housing Investments (WHI) walipokuwa wakimsubiri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kukagua mradi wa nyumba hizo eneo la Kisasa Relini jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24,2023 mara baada ya kufanya  ziara yake ya kukagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuzungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukagua mradi wa nyumba zilizojengwa na Watumishi Housing Investments (WHI) eneo la Njedengwa na Kisasa Relini jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa WHI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment(WHI), Dk. Fred Msemwa ,akimshukuru Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene,mara baada ya  kukagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing ziara iliyofanyika leo Agosti 24,2023.

Muonekano wa nyumba zilizojengwa na Watumishi Housing Investments (WHI) 

Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Simbachawene ameipongeza Watumishi Housing Investments (WHI) kwa kujenga nyumba za gharama nafuu nchini kwa ajili ya kuwauzia na kuwapangisha watumishi wa umma huku akiwasisitizia kuwauzia watumishi ambao ni vijana na wanaoanza maisha.

Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 24,2023  wakati wa ziara yake ya kukagua nyumba 1000 za watumishi wa Umma zilizopo Kisasa na Ndejengwa jijini Dodoma zinazojengwa na Watumishi Housing.

Waziri Simbachawene amesema utekelezaji wa nyumba bora za watumishi  huo ni mwelekeo mzuri katika kutekeleza sera ya makazi kwa watumishi wa Umma inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita lakini pia imeelezwa katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Katika hili kwa kweli nawapongeza sana kwa sababu mmefanya vizuri hongereni sana,Dar es salaam,Morogoro na Mwanza mmefanya hivyo.

“Lakini pia mnaendelea na miradi mipya endeleeni kuhakikisha watumishi wetu hapa nchini wanapata makazi karibu na maeneo yao wanayofanyia kazi,”amesema Waziri Simbachawene.

Aidha,Waziri Simbachawene amewapongeza wateja wanaonunua nyumba zinazojengwa na Watumishi Housing ambapo nyingi ni Taasisi za Umma na Watumishi wa Umma.

“Na hapa ndipo ninapotaka nitie msisitizo kwamba watumishi tunawaolenga ni wale wanaoanza kazi ama ambao wameenda katika maeneo ambayo hawana nyumba,”amesema Simbachawene.

Amesema nyumba hizo zisilengwe kuwauzia watumishi kwa sababu ya nafasi zao au ya uwezo wao ilenge kuwashawishi hata wale ambao hawana uwezo wa kujenga nyumba.

Amesema wapo baadhi ya vijana ndio wanaanza kazi badala ya kufikiria kutafuta kiwanja na  fundi inakuwa ngumu hivyo nyumba hizi zilenge pia kwa vijana hao.

“Nyumba kama hii inamtosha kabisa kijana anaeanza maisha lakini ukimwambia aanze kutafuta kiwanja na urasimu huko tunapoteza watu wengi elimu ipelekwe hasa kwa watumishi wanaoanza kazi,”amesema Waziri Simbachawene.

Pia amesisitiza kujenga Majengo katikati ya miji ili kuwasaidia wafanyakazi na kuwapunguzi gharama za usafiri.

Katika hatua nyingine,Waziri huyo ameagiza  wale walionunua nyumba lakini hawajakabidhiwa hati,Shirika hilo wafanye mchakato kuhakikisha walionunua wanapatiwa hati zao.

Vilevile ametaka  mikataba ya upangishaji na ununuaji iangaliwe isiwe ya kumkomoa mtumishi.

Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora ,Ridhiwani Kikwete amesema kazi inayofanywa na Watumishi Housing ni nzuri na Serikali inajivunia uwepo wao.

Naye  Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investment(WHI), Dk. Fred Msemwa amesema
hadi sasa wameweza kutengeneza nyumba  203 ambazo Waziri na Naibu Waziri wamepata nafasi ya kuziona.

Amesema katika nyumba hizo asilimia 99 zimeishauzwa kwa watumishi wa umma ikiwa na maana nyumba 2 pekee ndizo bado hazijauzwa lakini  zinaweza kuuzwa wakati wowote kutoka sasa.

“Mimi nichukue nafasi hii kusema kwamba sisi kama WHI tutaendelea kufanya vizuri huku tukizingatia maelekezo ili utekelezaji wa Mpango wa makazi kwa watumishi wa Umma uende vizuri na watumishi zaidi waweze kunufaika na huduma hiii nayotolewa na Serikali.

“Lengo ni watumishi waweze kufanya kazi katika mazingira bora na salama ambayo yatawahakikishia ufanisi na utulivu katika kuwatumikia watanzania katika sekta mbalimbali ambazo wanazohudumu,”amesema Dkt.Msemwa

About the author

Alex Sonna