Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

marsbahis

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

parmabet giriş

mavibet giriş

jojobet

coinbar

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

parmabet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

betnano

meritbet

ikimisli

ikimisli

norabahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI YAJIDHATITI KUPAMBANA NA UJANGILI NA BIASHARA HARAMU YA NYARA ZA WANYAMAPORI NA MISITU KWA USHIRIKIANO

Written by Alex Sonna
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema tatizo la ujangili na biashara haramu ya nyara za wanyamapori na mazao ya misitu imekuwa ikiathiri ustawi wa jamii na kudumaza uchumi wa nchi kwa kiasi kikubwa hivyo ushirikiano dhidi ya vita hiyo hauepukiki.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori Bw. Kiza Y. Baraga ametoa kauli hiyo leo Jumatano Agosti 23, 2023 Jijini Mwanza wakati akifungua Warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi na watendaji wa vikundi vya uratibu wa doria kanda za kiikolojia (Task Coordination Groups- TCGs) dhidi ya ujangili na biashara haramu ya wanyamapori.
Amesema ushirikiano katika kuishinda vita hiyo ni muhimu kwani mitandao ya ujangili na usafirishaji haramu wa nyara za serikali hupangwa nje ya hifadhi (mijini) na kutekelezwa ndani ya maeneo ya hifadhi ambapo ndipo zilipo rasilimali na hatimaye husafirishwa nje ya nchi kwenye masoko haramu.
 
Amesema Ujangili umekuwa ukiharibu sifa nzuri ya Tanzania hasa pale nyara na mazao ya misitu yanapokamatwa nje ya mipaka ya nchi, hivyo mafunzo hayo ni muhimu katika kuwajengea uwezo watendaji katika kukabiliana na changamoto hiyo.
Kufuatia hatua hiyo, Serikali imeanza kuzijengea uwezo mpana Taasisi mbalimbali zinazohusika katika kukabiliana na changamoto za ujangili na biashara haramu ya wanyamapori na mazao ya misitu katika maeneo mbalimbali hapa nchini ili kuhakikisha majangili wanakamatwa kabla hawajatekeleza ujangili ndani ya maeneo ya Hifadhi
Amezitaja Taasisi hizo ni pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama, taasisi za himasheria, pamoja na watendaji wa Idara na taasisi mbalimbali zinazohusiana na ulinzi na uhifadhi wa wanyamapori na misitu.
“Mitandao hii ya ujangili inahusisha wahalifu wa ngazi mbalimbali na hufadhiliwa na watu wenye uwezo mkubwa kifedha. Mafanikio ya kudhibiti mitandao hii inategemea sana uwezo wa himasheria (Law enforcement) katika kanda zote za Kiikoloji,” amesema Baraga
 
Aidha, Baraga amesema Wizara imeendelea kutekeleza jitihada mbalimbali za kuhakikisha rasilimali za wanyamapori na mazao ya misitu nchini zinalindwa ipasavyo ikiwemo kubadili mfumo wa utendaji kazi wa taasisi za uhifadhi kutoka wa kiraia na kuwa wa kijeshi.
“Tumefanikiwa pia kuanzisha Kikosi Kazi Taifa Dhidi ya Ujangili “National Task Force Anti-poacting (NTAP), na Tasking and Coordination Groups (TCGs) ambavyo vinahusisha vyombo vya ulinzi na usalama na taasisi za himasheria ili kuimarisha vita dhidi ya mitandao mikubwa ya ujangili,” Bw Kiza Baraga amesisitiza
 
Ameongeza kuwa, Makosa ya biashara haramu ya nyara na mazao ya misitu ni ya kupangwa na yanavuka mipaka, Wizara imekuwa ikizishirikisha Mamlaka mbalimbali katika kukabiliana na aina hiyo ya uhalifu ili kuweza kufikia malengo ya Wizara ya kutokuwa na matukio ya ujangili nchini ifikapo 2033.
“Navishukuru vyombo vya ulinzi na usalama, taasisi za himasheria, na wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwemo UNDP kwa namna ambavyo wamekuwa wakishirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii katika vita dhidi ya ujangili wa wanyamapori na mazao ya misitu kwani ushirikiano huu umesaidia kupunguza ujangili kwa kiwango kikubwa,” amesema Bw. Kiza.
 
Pia, ametumia fursa hiyo kuwasihi wajumbe kushiriki kikamilifu kwenye warsha hiyo ili kuongeza weledi na ujuzi mkubwa katika kutekeleza majukumu yao adhimu ya kulinda rasilimali za nchi.
Naye Meneja wa Mradi wa kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Nyara za Wanyamapori. (IWT- Project ), Bw. Theotimos Rwegasira amesema katika kukabiliana na masuala ya ujangili hapa nchini Serikali ’ilizindua Mkakati wa Kitaifa wa Kupambana na Ujangili nchini (2014-2019) kwa alengo muhimu la kudhibiti ujangili.
 
Amesema, Serikali ilitafuta wadau kushirikiana nao katika kutekeleza mkakati huo mmoja wa wadau hawa ilikuwa ni Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP.’’ Kwa kushirikiana na UNDP Wizara ya maliasili na Utalii inatekeleza Mradi wa Kupambana na Ujangili na biahashara haramu ya wanyamapori kwa njia shirikishi. Mradi huu ni wa miaka sita (2020- 2026) ambao lengo lake ni kusaidia juhudi za Serikali za kukabiliana na ujangili.
Amesisitiza kuwa, kupitia utekelezaji wa Mradi huu tayari Wizara imebainisha mahitaji ya NTAP na TCGs na kuandaa mpango wa kuzijengea uwezo.
Warsha hiyo imeandaliwaa na Wizara ya Maliasili Utalii kupitia Mradi wa IWT. Aidha, warsha hii ni muendelezo wa mpango wa kuzijengea uwezo Taasisi za hima sheria ili kukabiriana na ujangili nchini hususan kikosi kazi cha Taifa cha kupambana na ujangili (NTAP) na Kanda za Kiikolojia za uratibu wa doria (TCG’s)

About the author

Alex Sonna