Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Maharage Chande na Rais Mtendaji wa Kampuni ya (PLN) Bw. Darmawan Prasodjo Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo na Ujumbe wake yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stergomena Tax na Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Mhe. Retno L.P Marsodi Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa Nishati na Madini wa Indonesia Mhe. Arifin Tasrif Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dr. Venance Bahati Mwasse na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Madini ya PT Mineral Industri Indonesia (PERSERO) Dany Amrul Ichdan Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Maharage Chande na Rais Mtendaji wa Kampuni ya (PLN) Bw. Darmawan Prasodjo Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya (TPDC) Bw. Mussa Mohamed Makame na Rais Mtendaji wa Kampuni ya (PERTAMINA) Bi. Nicke Widyawati Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo akizungumza na Wanahabari wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam