Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA  NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA PUMA ENERGY NA MKURUGENZI MWENZA WA KAMPUNI YA MAFUTA YA TRAFIGURA JIJINI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy na Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya mafuta ya Trafigura Bw. Hadi Hallouche, wakati alipofika Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023. Miongoni mwa mambo waliojadili ni Biashara ya Hewa ukaa na gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy na Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya mafuta ya Trafigura Bw. Hadi Hallouche, wakati alipofika Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023. Miongoni mwa mambo waliojadili ni Biashara ya Hewa ukaa na gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy na Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya mafuta ya Trafigura Bw. Hadi Hallouche, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023. Miongoni mwa mambo waliojadili ni Biashara ya Hewa ukaa na gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy na Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya mafuta ya Trafigura Bw. Hadi Hallouche, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023. Miongoni mwa mambo waliojadili ni Biashara ya Hewa ukaa na gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

About the author

mzalendoeditor