Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania.

ii)Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)

Uteuzi huu unaanza mara moja.

About the author

mzalendoeditor