Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

BODI YA NAFAKA YANUNUA TANI 35,000 ZA MAZAO

Written by Alex Sonna

 Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) ,John Maige, akionesha bidhaa mbalimbali wanazozalisha katika Maonesho ya Nanenane Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya.

Mkurugenzi wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko, Nicomed Bohay, akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya Nanenane Kitaifa viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya.

Na.Alex Sonna-Mbeya
MKURUGENZI  Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) Bw. John Maige,amesema mpaka sasa wamenunua  Tani 35,000 za mazao mbalimbali yakiwemo mahindi, mpunga, alizeti na maharage.
Hayo ameyabainisha wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye  Maonesho ya Nanenane Kitaifa  yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya.

Bw.Maige, amesema mwaka huu waliweka malengo ya kutumia Sh bilioni 100 lakini mpaka sasa wametumia Sh bilioni 29.

Aidha amesema kuwa wanaendelea na ununuzi wa mazao kutoka kwa wakulima katika vituo vyao mbalimbali vilivyopo Iringa, Arusha, Dodoma, Songea, Sumbawanga na Tunduma.

“Kazi yetu kubwa ni kununua mazao kutoka kwa wakulima, kuyaongezea thamani kisha tunazalisha bidhaa mbalimbali na kuziuza katika masoko ya ndani na nje ya nchi,” amesema Bw. Maige.

Amesema pia kwenye bodi hiyo kuna fursa mbalimbali zikiwemo za kuuza mazao, uwakala wa kuuza mazao na bidhaa.

“Tunaamini vijana pamoja na wanawake kama kaulimbiu ya Nanenane mwaka huu inavyosema watanufaika na uwepo wa bodi katika maonesho haya na baada ya Nanenane katika ofisi zetu zilizopo katika kanda mbalimbali,” amesema.

Bodi hiyo ina ofisi katika Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Iringa), Ziwa (Mwanza), Kaskazini (Arusha), Kati (Dodoma) na Mashariki (Dar es Salaam).
“Mwelekeo wetu ni kujiimarisha zaidi katika ufanyaji biashara kwa maana ya ununuzi wa mazao ya wakulima, kuyaongezea thamani na kuyauza katika masoko ya ndani na nje ya nchi,” amesema.Amesema bidhaa wanazozalisha ni bora kwa sababu wanazingatia viwango vya ubora vya Afrika Mashariki na kimataifa kutokana na teknolojia wanazotumia.

“Tuna mitambo ya kisasa inayosindika bidhaa za unga wa mahindi, ngano na mchele. Bidhaa tunazozalisha ni bora kwa watumiaji na zinalinda afya ya walaji,” amesema Maige.

Naye Mkurugenzi wa bodi hiyo, Nicomed Bohay, amesema wanatatua changamoto za masoko ya ndani kwa wakulima.

“Tunanunua nafaka mbalimbali nchi nzima kwahiyo tunatatua changamoto ya soko kwa wakulima wa mahindi, alizeti, mpunga, ngano na nafaka zingine.

“Baada ya kununua tunachakata katika viwanda vyetu vya kisasa vilivyopo maeneo mbalimbali ya nchi na kuuza bidhaa katika maduka ya jumla na rejareja…tunatatua changamoto ya wajasiriamali kupata bidhaa bora,” amesema Bohay.

About the author

Alex Sonna