Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

PINDA ATEMBELA BANDA LA OFISI YA MAKAMU WA RAIS NANE NANE

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akiuliza jambo kwa Afisa Mazingira Mwandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Martha Ngalowera (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili katika Banda la Ofisi hiyo inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere (kushoto) akiuliza jambo kwa Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Agosti 7, 2023. Katikati ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akitazama kitabu cha Muungano kilichoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akipokea machapisho mbalimbali yanatolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Sarah Kibonde muda mfupi baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya

Waziri Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akipokea machapisho mbalimbali yanatolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Hanifa Selengu muda mfupi baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Elisha Msengi akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) Dkt. Frolence Turuka wakati wa ziara iliyofanywa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda katika Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Uwanja wa John Mwakangale Jijini Mbeya.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda ametoa wito kwa Ofisi ya Makamu wa Rais kuendelea kutangaza fursa za Biashara ya Kaboni ili kuwawezesha wananchi kupata mwako wa kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti hivyo kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Ametoa rai hiyo leo Jumatatu (Agosti 7, 2023), wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais inayoshiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya

Mhe. Pinda amesema biashara ya kaboni inahusisha zaidi upandaji na utunzaji wa miti na kuweka mifumo inayodhibiti uzalishaji wa hewa ukaa katika shughuli mbalimbali ikiwemo za kilimo, nishati, viwanda, na miundombinu hivyo ni wajibu wa elimu ya biashara hiyo iendelee kutolewa katika Mikoa yote nchini.

“Biashara hii imeingia katika Mkoa wa Katavi na tayari wananchi wamenufaika na mradi huu kwa kuongeza mapato na kuimarisha utoaji wa huduma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa sambamba na kuzuia uharibifu wa misitu iliyohifadhiwa” amesema Mhe. Pinda

Kwa mujibu wa Mhe. Pinda amesema iwapo elimu ya kutosha itatolewa kwa wananchi kuhusu fursa ya  biashara ya kaboni ni matumaini kuwa kuwa jitihada hizo zitawawezesha wananchi kupata uelewa na kunufaika na biashara hiyo wakiwemo wakulima na wafugaji. 

Akifafanua zaidi Mhe. Pinda amesema kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuhamasisha wananchi kuhifadhi misitu ya asili na kutunza mazingira kwa kuhakikisha hakuna ukataji miti hovyo, uchomaji misitu na kuzuia kufanyika kwa shughuli zingine hatarishi.

Kwa upande wake Afisa Mazingira Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais, Abdallah Lungo amesema kwa kutambua umuhimu wa Biashara ya Kaboni, Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeanza kufanyia maboresho Kanuni na Mwongozo wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2022 ili ziweze kuwatambua na kuwanufaisha wakulima na wafugaji nchini.

Aidha Lungo amesema kuandaliwa kwa kanuni na mwongozo wa biashara hiyo, kutawezesha kuuzwa kwa wingi hewa ya ukaa na ukamilifu wake na kuwezesha misitu iliyopo katika vijiji husika kulipwa kiasi kikubwa cha fedha na hivyo Serikali inaendelea kuwahimiza wananchi kuhifadhi misitu na kutunza mazingira.

“Matumizi bora ya ardhi ndio chanzo cha biashara hii kwa maana ya kutenga maeneo ya hifadhi ya misitu na kuilinda. Tumeendelea kuhimiza jamii kutunza mazingira kwa kupanda miti kwa ajili matumizi mbalimbali sambamba na kufyonza hewa ukaa kwa manufaa endelevu” amesema Lungo.

Katika ziara hiyo, Mhe. Pinda aliongozana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Rukwa akiwemo Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Makongoro Nyerere na Katibu Tawala Bw. Gerald Kusaya.

Ofisi ya Makamu wa Rais imeungana na Wizara, Idara na Taasisi za Umma na binafsi kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) mwaka 2023 yanayoongozwa na kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa Mifuko ya Chakula”

About the author

Alex Sonna