Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

PROF. NDALICHAKO ASISITIZA WAFANYAKAZI WA HOTELI ZA KITALII UTOAJI WA HUDUMA BORA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako ,akizungumza wakati akifunga mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637,yaliyomalizika leo Julai 29, 2023 jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Prof. Jamal Katundu,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637,yaliyomalizika  leo Julai 29, 2023 jijini Arusha.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Suzanne Ndomba,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga  mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637, leo Julai 29, 2023 jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Ukuzaji Ujuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ally Msaki,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga  mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637, leo Julai 29, 2023 jijini Arusha.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako  (hayupo pichani),akizungumza wakati akifunga mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637,yaliyomalizika leo Julai 29, 2023 jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufunga mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637,yaliyomalizika leo Julai 29, 2023 jijini Arusha.

Na: Mwandishi Wetu – Arusha

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako amewataka wafanyakazi wa hoteli za kitalii kutoa huduma bora kwa wageni ili kutimiza azma ya Serikali kufikia lengo la watalii milioni tano kwa mwaka ifikapo mwaka 2025.

Prof. Ndalichako amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya kukuza ujuzi kwa wafanyakazi wa hotelini 637, leo Julai 29, 2023 jijini Arusha ambapo amebainisha kuwa sekta ya utalii inakua kwa kasi na sasa Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa Afrika.

Amesema uamuzi wa ofisi hiyo kutoa mafunzo hayo umetokana na ripoti ya utafiti mdogo uliofanywa kuonyesha sekta hiyo inakabiliwa na huduma zisizoridhisha.

“Baada ya kufanywa tathimini, Ofisi yangu pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii tulibaini hoteli 35 zinazotoa huduma mbalimbali kwa wageni hazitoi huduma zenye viwango, ikiwemo huduma zisizoridhisha, lugha mbaya na usomaji wa simu janja bila kujali wateja,” amesema.

Prof. Ndalichako amesema kutokana na changamoto hiyo wizara hiyo imetoa mbinu mbalimbali za mafunzo kwa ajili ya kuongeza ujuzi zaidi na kwamba ujuzi huo utaleta tija katika sekta ya hoteli ikiwemo kuongeza vipato kwa wafanyakazi ambao wanatoa huduma nzuri na kwa wakati.

Amesema suala la ujuzi ni nyenzo muhimu ya kuvutia wageni na kuendelea kuchochea sekta hiyo.

Naye, Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Prof. Jamal Katundu, amesema mafunzo yanatolewa kupitia programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayolenga kuwawezesha wasio na ajira kupata mafunzo ya uanagenzi na uzoefu kazini ili kuongeza tija kwa nguvukazi katika soko la ajira.

Kwa upande mwengine, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Suzanne Ndomba amesema ni muhimu vijana wapate mafunzo wakiwa kazini ili kufikia malengo waliyojiwekea katika kuondokana na changamoto za ujuzi, pia kutoa huduma bora huku Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Henry Mkunda amesisitiza mafunzo hayo yawe chachu ya kuleta maendeleo hususan katika sekta ya hoteli na utalii.

About the author

Alex Sonna