Burudani Featured

Video Mpya : RISANDI LAIZER – BARAKA ZA MUNGU

Written by mzalendoeditor

 

Mkali wa Gospel kutoka jijini Arusha anayefanya vizuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania Risandi Laizer amekuletea wimbo wake mpya uitwao “Baraka za Mungu”
 
Hakika utabarikiwa na wimbo huu na utashuhudia baraka za Mungu zikimiminika maishani mwako.
 
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Risandi Laizer Kwa Simu namba +255766200459
 
Au barua pepe @rlaizer.tz108@gmail.com
 
Karibu uutazame. Usisahau ku like, ku-Comment na ku-share Kwa wengine.

About the author

mzalendoeditor