Featured Kitaifa

SPIKA DKT.TULIA AWASILI NCHINI ITALY KWA ZIARA YA KIKAZI

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 22 Julai, 2023 amewasili katika Jiji la Roma Nchini Italia kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Balozi wa Nchi hiyo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.

Katika Ziara hiyo, Dkt. Tulia ameambatana pia na Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndc

About the author

mzalendoeditor