Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA MSAADA WA SHERIA YA MAMA SAMIA – RUVUMA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, Wadau wa Sheria pamoja na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani Ruvuma wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa mkoa wa Ruvuma leo tarehe 22 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani Ruvuma kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa mkoa wa Ruvuma leo tarehe 22 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa washiriki mbalimbali wanaotoa huduma za msaada wa kisheria wakati akitembelea mabanda katika Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa mkoa wa Ruvuma iliofanyika katika Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani Ruvuma. Tarehe 22 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasalimu wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani Ruvuma wakati alipowasili kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa mkoa wa Ruvuma leo tarehe 22 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, Wadau wa Sheria pamoja na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani Ruvuma wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa mkoa wa Ruvuma leo tarehe 22 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inapaswa kuangazia changamoto zinazowagusa wananchi wa hadhi zote wakiwemo watu wenye ulemavu na wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia.

Makamu wa Rais amesema hayo leo tarehe 22 Julai 2023 wakati akizindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa mkoa wa Ruvuma, uzinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani humo.

  Amesema kumekuwepo na ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia hapa nchini ambapo takwimu za Januari – Disemba 2022 zinaonesha matukio ya ukatili yaliyokuwa mengi zaidi ni ubakaji ambayo ni 6,335, ulawiti 1,555 na mimba za utoto 1,557.

Ametoa wito kwa Kampeni hiyo kusaidia waathirika wa vitendo hivyo kupata haki zao pamoja na kuagiza vyombo vya dola kuendelea kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya watuhumiwa wote wa matukio hayo.

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema Kampeni hiyo inapaswa kutoa elimu ya kutosha kuhusu taratibu za kufuata ili kutekeleza Hukumu za Mahakama na kupata haki kwani hivi sasa kumekuwepo na wananchi ambao wameshinda kesi mahakamani lakini wamebaki na hukumu zao mikononi bila kupata haki zao.

Aidha Makamu wa Rais ametoa wito kwa Watanzania kujijengea utamaduni wa kuandika wosia mapema ili kuepusha migogoro ya kifamilia inayotokea pindi mwanafamilia mmoja anapofariki. Amesema kumekuwepo na migogoro mingi ya mirathi inayotokana na watu wengi kutokuandika wosia wakiwa hai hali inayochangiwa na imani miongoni mwa jamii kuwa kuandika wosia ni kujitabiria kifo.

Ameilekeza Wizara ya Katiba na Sheria na Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu kuongeza jitihada za kutoa elimu kuhusu uandaaji wa wosia na masuala ya mirathi kwa ujumla. 

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama, kudhibiti hali ya uingizaji wa mifugo kinyume na sheria inayoendelea katika mkoa wa Ruvuma hususani Wilaya ya Tunduru, Namtumbo na Songea Vijijini. Amesema kumekuwepo na taarifa ya uingizwaji mifugo inayofanywa na viongozi pamoja na baadhi ya matajiri wa mifugo kutoka nchi jirani ambao wanatoa fedha ili waweze kuingiza mifugo hiyo.

Makamu wa Rais ameitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wizara ya Ardhi kufanya kazi ya dharura kutenga na kupima vitalu na mashamba ya mifugo na wamiliki wa mifugo watakiwe kujenga malambo ya maji katika vitalu na mashamba hayo.   

Vilevile Makamu wa Rais ameigiza Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuongeza kasi ya upimaji na upangaji wa miji ikiwa ni pamoja na kurasimisha makazi ya wananchi kwa kuzingatia sheria. Amesema Sekta ya ardhi imeendelea kukabiliwa na migogoro mingi ikiwa kwa sehemu kubwa migogoro hiyo inachangiwa na maeneo mengi kutopimwa na kupangiwa matumizi sahihi pamoja na baadhi ya wananchi kuvamia maeneo ya hifadhi na shoroba za wanyama.

Makamu wa Rais amevitaka vyombo vinavyosimamia sheria ikiwemo jeshi la polisi na Ofisi ya Mashtaka ya Taifa kuzingatia sheria katika utekelezaji wa majukumu yao. Amesema kumekuwepo na malalamiko ya wananchi wengi yanahusu ukiukwaji wa haki za watumiwa ikiwemo kukamatwa bila kufuata taratibu, kunyimwa dhamana kinyume cha sheria, kupekuliwa bila kufuata taratibu, rushwa na kukaa mahabusu muda mrefu bila kufunguliwa mashitaka.

Makamu wa Rais amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inapaswa kutoa kipaumbele katika kutoa elimu kuhusu haki za watu wenye ulemavu. ameilekeza Wizara ya Katiba na Sheria kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kutoa elimu kwa jamii na kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Watu enye Ulemavu Na. 9 ya mwaka 2010. 

Kwa upande wake Waziri wa Katiba wa Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni mkakati unaotekeleza maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wenye lengo la kuongeza uelewa wa sheria na haki za binadamu kwa wananchi wote hususani wanawake,watoto na makundi maalum.

Dkt. Ndumbaro ameongeza kwamba Kampeni hiyo itasaidia kuimarisha huduma za ushauri na msaada wa kisheria hususani kwa wananchi wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa nchi. Amesema kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia itapita katika kila wilaya, kata, kitongoji, taasisi mbalimbali kama vile za elimu pamoja na maeneo ya vizuizi ikiwemo mahabusu na magereza. 

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Campaign) inatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Machi, 2023 hadi Februari, 2026 ikitarajiwa kuwafikia katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Mkoa wa Ruvuma ni mkoa wa nne kuzindua kampeni hiyo ukitanguliwa na mikoa ya Dodoma, Manyara na Shinyanga.

About the author

Alex Sonna