Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betpark

jojobet

meritking

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

WASHINDI WA INSHA EAC NA SADC WAKABIDHIWA TUZO JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. James Mdoe,akikabidhi zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa tuzo kwa wanafunzi ambao ni washindi wa uandishi wa insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 huku ikisisitiza hamasa zaidi ili kupata washiriki wengi zaidi.

Akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo hizo leo Julai 15,2023 jijini Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. James Mdoe amesema kuwa uandishi wa insha ni sehemu ya mafunzo na inawajengea wigo mpana wa kujifunza masuala muhimu yanayohusu jumuiya hizo.

Prof.Mdoe amesema kuwa  umuhimu wa kushiriki Mashindano hayo kwa wanafunzi ni kuwaongezea uwezo katika kukuza ujuzi wa lugha,unawaongezea maarifa kwa ujumla kwa kupata uelewa wa mada mbalimbali za masomo mengine na kuwasaidia kwa siku za usoni kunufaika na mtangamano wa Jumuiya hizo.

“Uandishi wa Insha unawapa wanafunzi fursa ya kutafiti na kupata taarifa zaidi, kuelewa na kuwawezesha kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na Jumuiya zetu na husaidia wanafunzi wa Kitanzania kuchanganua masuala kutoka nyanya mbalimbali na kulinganisha nyanja hizo na Mazingira yetu,” amesema Prof Mdoe.

Hata hivyo amewapongeza wanafunzi wote walioshiriki katika shindano hilo tangu ngazi za awali na kubainisha kuwa licha ya changamoto ndogo ndogo zilizopo katika sekta ya elimu lakini ubora wa elimu ni mzuri na hilo linadhihilishwa kwa wanafunzi wengi kuonyesha ushindani mkubwa katika uandishi wa insha ikishirikisha nchi mbalimbali.

Ameongeza kuwa “Ni matamanio yetu siku moja tuone washindi wa kwanza, wa pili, wa tatu hata hadi nafasi ya tano tunakuwa watanzania na hili linawezekana tukitilia mkazo walimu wakuu, wazazi na waratibu wahamasishe zaidi” amesema Prof. Mdoe.

Aidha  Prof. Mdoe amewataka Walimu Wakuu na Waratibu wa ndani wa Shule mbalimbali nchini kuhakikisha wanawasaidia wanafunzi wao miongozo inayohitajika katika uandishi wa Insha.

Awali, akisoma risala ya mashindano hayo,  Mratibu wa Insha kutoka Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Bi.Matuha Masati,ameipongeza Sekretarieti ya  Afrika Mashariki na Jumuiya ya Nchi za SADC Kwa kuendesha Mashindano ya Uandishi wa Insha kwani yamekuwa chachu Kwa vijana kufanya utafiti,kujifunza na kufahamu vizuri mchakato na hatua mbalimbali za uimarishaji Kwa nchi wanachama.

Amesema kuwa mashindano hayo husimamiwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) kwa insha za nchi za Afrika Mashariki (EAC) na za SADC husimamiwa na Wizara ya Elimu kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar.

Amesema kuwa Jumla ya wanafunzi 133 walishiriki katika shindano la uandishi wa Insha za SADC Kwa Mwaka 2021  na baada ya  usahihishaji wakapatikana washindi 10 katika ngazi ya Taifa ambao wamepewa zawadi na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  ikiwa ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zawadi zilikuwa zikitolewa Kwa mshindi wa kwanza mpaka wa tatu tu

” Kwa upande wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki washiriki walikuwa 315 Kwa Mwaka wa 2021 ambapo baada ya usahihishaji wakapatikana washindi 10 ambao wamegawanywa katika Makundi mawili” amesema.

Ameongeza kuwa “Kundi A wanapewa zawadi tofauti tofauti kulingana na nafasi ya ushindi kitaifa na kundi B  ni mshindi kuanzia nafasi ya Sita hadi kumi hawa wanapewa zawadi zinazofanana kutoka Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,”amefafanua Masati

Katika mashindano ya SADC mshindi wa kwanza amepata Dola za Marekani 500, wa pili amepata Dola za Marekani 300 na watatu amepata Dola za Marekani 200 huku kwa EAC mshindi wa kwanza amepata Dola za Marekani 300, wa pili Dola za Marekani 250 na watatu amepata Dola za Marekani 200 , wan ne amepata Dola za Marekani 150 na watano amepata Dola za Marekani 100.

Aidha, katika kundi la pili kwa EAC lilikuwa na wanafunzi watano ambao kila mmoja amepata Dola za Marekani 50 na Wizara imetoa Sh. 300,000 kwa washindi 20 wa mashindano hayo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akizungumza wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Mratibu wa Insha wa kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bi. Matuha Massati, akisoma risala wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akipokea risala kutoka kwa Mratibu wa Insha wa Wizara hiyo  Bi. Matuha Massati,wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu TAMISEMI, Alfred Kazimoto,akizungumza wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. James Mdoe (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. James Mdoe,akikabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Zanzibar Bi.Asya Idd Issa ,akitoa neno la shukrani wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Mratibu NECTA Dodoma Bw.Ezekiel Sekelano,akizungumza wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Mratibu wa Insha Shule ya Sekondari Azania Mwalimu Ndeni Ndossi,akitoa neno la shukrani wakati wa hafla ya kutunuku zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. James Mdoe,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwatunuku  zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa mwaka 2021 hafla iliyofanyika leo Julai 15,2023 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna