Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betpark

jojobet

grandpashabet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Michezo

DC SAMIZI AHIMIZA PJFC, KAHAMA JOGGING CLUB NA ISAMILO JOGGING CLUB KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Written by Alex Sonna
Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga (katikati ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi)
 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Vikundi vya mazoezi ya viungo Mkoa wa Shinyanga na Mwanza (Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC), Kahama Jogging Club na Isamilo Jogging) vimefanya bonanza la michezo Mjini Shinyanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka minane tangu kuanzishwa kwa PJFC.

Bonanza hilo likiongozwa na kauli mbiu “Kataa uhalifu toa taarifa, Shinyanga bila uhalifu inawezekana” limefanyika leo Jumamosi Julai 15,2023 katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Shinyanga (Shy Com) likihusisha michezo mbalimbali ikiwemo mbio za mita 100 na 200, mpira wa miguu, kufukuza kuku, mbio za magunia na kuvuta kamba.
 
Awali kabla ya michezo hiyo, wafanya mazoezi hao Kahama Jogging Club, PJFC na Isamilo Jogging Club pamoja na Askari Polisi Mkoa wa Shinyanga na Vijana wa hamasa CCM walifanya mazoezi ya kukimbia (Jogging) wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi kuanzia Bwalo la Polisi Mjini Shinyanga kupitia mitaa mbalimbali kisha kumalizia mbio hizo katika viwanja vya Shy Com.
 
Akizungumza wakati wa Bonanza hilo, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi amevipongeza vikundi hivyo vya mazoezi kwa ushirikiano huku akisisitiza jamii kujenga tabia ya kufanya mazoezi na kuepuka tabia bwete ili kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.
 
“Hongereni PJFC kwa kuwakaribisha Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club kuja hapa Shinyanga, hii yote ni katika kujenga mahusiano lakini pia kuimarisha afya ya mwili na akili”,amesema Mhe. Samizi.
 
“Michezo inajenga afya ya mwili na akili, na ukiona umechanganyikiwa fanya mazoezi. Tufanye mazoezi, tuache tabia bwete ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza”,ameongeza.
 
Mkuu huyo wa Wilaya amewataka wafanya mazoezi hao pamoja na jamii kwa ujumla kupinga na kuzuia ukatili wa kijinsia kwa kutoa taarifa.
 
Kwa upande wake, Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania ACP Emmanuel Christian Galiyamoshi ameishukuru jamii kwa ushirikiano inaotoa kwa jeshi la polisi katika kuzuia matukio ya uhalifu.
 
“Tunawashukuru wananchi kwa ushirikiano mnaotoa kwa jeshi la polisi katika kukataa uhalifu kwa kutoa taarifa. Wafanya mazoezi nyinyi ni kama askari polisi, polisi ni wachache hivyo endeleeni kushirikiana nasi ili kupunguza uhalifu katika jamii na tutahakikisha tunaongeza wafanya mazoezi hadi ngazi za vijiji”,amesema Galiyamoshi.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na kikundi cha mazoezi ya viungo maarufu Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) ambalo limeshirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club leo Jumamosi Julai 15,2023 Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na kikundi cha mazoezi ya viungo maarufu Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) ambalo limeshirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania ACP Emmanuel Christian Galiyamoshi akizungumza wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na kikundi cha mazoezi ya viungo maarufu Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) ambalo limeshirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania ACP Emmanuel Christian Galiyamoshi akizungumza wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na kikundi cha mazoezi ya viungo maarufu Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) ambalo limeshirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Vikundi vya mazoezi ya viungo maarufu Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC), Kahama Jogging Club na Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza wakiwa nje ya Bwalo la Polisi Mjini Shinyanga wakijiandaa kuanza kukimbia (Jogging) Mitaa mbalimbali Mjini Shinyanga.
Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga (katikati ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi)
Kahama Jogging Club wakifanya mazoezi mjini Shinyanga
 Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC), vijana wa hamasa CCM wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Vijana wa hamasa CCM wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Vikundi vya mazoezi ya viungo – Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC), Kahama Jogging Club na Isamilo Jogging Club wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Vikundi vya mazoezi ya viungo – Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC), Kahama Jogging Club na Isamilo Jogging Club wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga. Mbele ni Isamilo Jogging Club wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Askari polisi Shinyanga wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Askari polisi Shinyanga wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Kahama Jogging Club wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Mazoezi yanaendelea
Mazoezi yanaendelea
Mazoezi yanaendelea
Mazoezi yanaendelea
Vijana wa hamasa CCM wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Askari polisi Shinyanga wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Isamilo Jogging Club wakifanya mazoezi Mjini Shinyanga
Mazoezi yakiendelea katika viwanja vya Shy Com
Mbio za mita 100 zikiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mbio za mita 100 zikiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mbio za mita 100 zikiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mbio za magunia zikiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea wakati wa Bonanza la Michezo lililoandaliwa na PJFC likishirikisha pia Isamilo Jogging Club kutoka Jijini Mwanza na Kahama Jogging Club
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (katikati), viongozi na askari polisi wakipiga picha ya kumbukumbu
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (katikati), viongozi na Isamilo Jogging Club wakipiga picha ya kumbukumbu
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (katikati), viongozi na Kahama Jogging Club wakipiga picha ya kumbukumbu
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (katikati), viongozi na Shinyanga Polisi Jamii Fitness Center (PJFC) wakipiga picha ya kumbukumbu
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (katikati), viongozi na vijana wa hamasa CCM wakipiga picha ya kumbukumbu.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna