Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

JK AIPONGEZA SERIKALI KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA ZA MASUALA YA UKIMWI

Written by Alex Sonna

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kampeni maalum ya kuchangia fedha katika utekelezaji wa afua za masuala ya UKIMWI nchini ya Kilimanjaro HIV & AIDS Challenge 2023 kwa kuzingatia mchango wake katika mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI nchini.

Ametoa pongezi hizo mapema Julai 14, 2023 wakati wa hafla ya kuwaaga wapanda Mlima Kilimanjaro na waendesha baiskeli kuzunguka mlima huo katika lango la Machame Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo kwa mwaka huu.

Mhe. Dkt. Kikwete alisema kampeni hiyo ina mchango mkubwa katika kufikia Kampeni ya Kitaifa ya kufikia malengo ya SIFURI TATU, yaani Sifuri ya maambukizo mapya ya Virusi vya UKIMWI, Sifuri ya Unyanyapaa na Ubaguzi kwa watu wanaoishi na VVU na Sifuri ya vifo vitokanavyo na UKIMWI kwa kuzingatia mchango wa kifedha unaopatikana na kusaidia utekelezaji wa afua za UKIMWI nchini.

“Kazi iliyofanywa na ndugu zetu GGM wameonesha njia wanastahili kuungwa mkono, hivyo basi, niziombe Jumuiya za wafanyabiashara, makampuni na sekta binafsi pamoja na Watanzania wote kwa ujumla, kuunga mkono kampeni ya Kill Challenge kwa miaka ijayo,”alisema

Akieleza uzoefu wa ushiriki wake katika kampeni hiyo alisema ni jambo muhimu kwa kuzingatia mchango wa tukio hilo katika masuala ya Afua za UKIMWI na linamatokeo mengi mazuri ikiwemo la kujijenga kiafya, kuchochea hali ya uzalendo kwa nchi yetu pamoja na kuimarisha mahusiano kati yetu na mataifa mengine kwani wapo washiriki wa mataifa mengine ikiwemo Afrika Kusini.

“Binafsi ninafarijika kuendelea kuwa sehemu ya mafanikio haya, kwani leo ninashiriki kwa mara ya tatu tukio kama hili adhimu ambapo niliwahi kushiriki pia mara ya kwanza tarehe 2 Mei, 2014 na tarehe 21 Julai, 2016, hivyo naipongeza TACAIDS pamoja na Geita Gold Mining Limited ambao ndio waanzilishi na waratibu wa program hii ya Kilimanjaro Challenge Against HIV and AIDS, ni jambo la kuungwa mkono na kupongezwa, hongereni sana,”alisema.

Aidha aliipongea Serikali katika kupambana na maambuzi ya VVU na UKIMWI ambapo kupitia program hii wadau wanapata fursa kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia jitihada za Serikali na wananchi katika mapambano haya.

“Kwa namna ya kipekee kabisa naipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyojipanga kuongeza nguvu ya mapambano haya kwa kuendelea kutenga fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa afua za masuala ya UKIMWI Nchini.

Alitumia nafasi hiyo kuwaasa washiriki kutimiza malengo kwa kushikamana, upendo na kuwa na umoja katika zoezi hilo ili kukamilika kwa namna lilivyokusudiwa.

“Washiriki wote 61 ikiwemo wapanda mlima (Climbers) thelathini na sita na wanaouzunguka kwa baiskeli ishirini na tano mmeonesha ushujaa wa hali ya juu kwa kujitoa kwenu na kuwa tayari kupanda mlima na wengine kuendesha baiskeli mmefanya jambo kubwa na zuri la kuigwa,”.

Aliongezea kuwa, kushiriki zoezi hili ambalo si jepesi imedhihirisha kuwa bado ipo dhamira ya dhati miongoni mwa Watanzania na wadau ya kuendeleza mapambano haya, na yatafanikiwa iwapo pataendelea kuwa na dhamira ya dhati kwa kila mmoja wetu na ushirikiano wa pamoja kufikia ushindi unaoutarajia.

Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga alipongeza namna zoezi lilivyoratibiwa na kutoa wito kwa washiriki wote kuendelea kujitoa kwa kadiri inavyobidi huku akimshukuru Rais Mtaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa kukubali kuwa mgeni rasmi wa program hiyo na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano na wadau mbalimbali wanaoshughulika na afua za masuala ya VVU na UKIMWI nchini.

Awali akieleza kuhusu kampeni hiyo Kaimu Mtendaji Mkuu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Nchini Dkt. Jerome Kamwela alisema Tanzania imeendelea kuwa na mikakati madhubuti katika mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI na kueleza takwimu zinaonesha maambukizi yamepungua kufikia asilimia 4.7 ambapo ni ishara kuwa jamii imekuwa na mwamko na uelewa mpana kuhusu masuala haya.

About the author

Alex Sonna