Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI NDEJEMBI AELEKEZA UKAGUZI UFANYIKE KWEMBE SEKONDARI KUJIRIDHISHA NA MATUMIZI YA FEDHA ZA UJENZI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akisisitiza jambo kwa viongozi wa Manispaa ya Ubungo, wakati akiwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa shule ya Sekondari ya Kwembe ya wasichana inayojengwa katika Manispaa ya Ubungo kupitia mradi wa SEQUIP.

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akielekea kukagua moja ya jengo katika shule ya Sekondari ya Kwembe ya wasichana inayojengwa katika Manispaa ya Ubungo kupitia mradi wa SEQUIP. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba.

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akisikiliza kwa makini taarifa ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Kwembe wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa shule hiyo ya wasichana inayojengwa katika Manispaa ya Ubungo kupitia mradi wa SEQUIP. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na baadhi ya walimu na watumishi Shule ya Sekondari Kwembe, alipowasili kukagua ujenzi wa shule hiyo ya wasichana inayojengwa katika Manispaa Ubungo kupitia mradi wa SEQUIP.

Muonekano wa moja ya jengo linaloendelea kujengwa katika shule ya Sekondari ya Kwembe ya wasichana kupitia mradi wa SEQUIP.

 

Na: James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI)

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuunda timu maalum ya kukagua matumizi ya fedha kwenye ujenzi wa shule ya Sekondari ya Kwembe ya wasichana inayojengwa katika Manispaa ya Ubungo kupitia mradi wa SEQUIP.

Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo akiwa katika Manispaa ya Ubungo mara baada ya kutoridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa katika Sekondari hiyo ya Kwembe, licha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa fedha nyingi ili kukamilisha ujenzi wa shule hiyo maalum ya wasichana ya sayansi. 

Mhe. Ndejembi amesema, hajaridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa ikizingatiwa kuwa awali Serikali kuu ilitoa bilioni 3 na kuongeza bilioni 1.1 na Manispaa ya Ubungo ikaongeza tena bilioni 1.2 ili kukamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule hiyo.

“Nilichokiona hapa ni dalili za matumizi mabaya ya fedha iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, hivyo ofisi ya Rais-TAMISEMI haiko tayari kuona fedha ikichezewa na ndio maana nimeelekeza uchunguzi ufanyike,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Aidha, Mhe. Ndejembi ameutaka uongozi wa Manispaa ya Ubungo kuongeza usimamizi na kumtaka mkandarasi kuongeza idadi ya mafundi ili shule hiyo ikamilike na kuwapokea wanafunzi zaidi ya 200 waliopangiwa kuripoti katika shule hiyo.

Akizungumzia kusuasua kwa ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu ya elimu mkoani Dar es Salaam, Mhe. Ndejembi amesema wataalam na wakandarasi wameikwamisha Serikali kutekeleza lengo la kuboresha miundombinu kwa wakati hivyo amewataka kubadilika kiutendaji ili wawe na tija katika maendeleo ya taifa.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba ameahidi kuwa atahakikisha anawasimamia wakandarasi na mafundi kufanya kazi usiku na mchana ili shule hiyo ikamilike na kupokea wanafunzi waliopangiwa kuripoti katika shule hiyo.

    

About the author

Alex Sonna