Featured Kitaifa

EWURA, CRB NA TBS ZASAINI MAKUBALINO YA USHIKIANO KIUTENDAJI KWENYE CNG

Written by mzalendoeditor

 

Picha ya pamoja ya Msajili wa Bodi ya Wakandarasi (CRB), Mhandisi. Rhobrn Nkori (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Bw. Lazaro Msasalaga(katikati) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Mha. Poline Msuya, wakiwa wameshika Hati ya Makubaliano baada ya kusaini hati hiyo mapema leo.

Picha ya pamoja ya watendaji waliohudhuria utiaji saini wa hati ya makubaliano ( MoU) kati ya EWURA, CRB na TBS, leo 23 Juni 2023, jijini Dar es Salaam

Na.Mwandishi Wetu

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA), Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) pamoja na Shirika la Viwango Tanzania ( TBS) leo 30 Juni 2023 wamesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Usimamizi wa Shughuli mbalimbali katika matumizi ya Gesi Asilia iliyoshindiliwa(CNG) katika hafla fupi iliyofanyika leo 30 Juni 2023 jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor