Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA USHIRIKA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde,akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Ushirika leo Juni 27, 2023 katika Viwanja vya Nanenane Ipuli Mkoani Tabora kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega.

Na.Mwndishi Wetu-TABORA

Serikali imesema imedhamiria kuimarisha na kuendeleza azma yake ya kuimarisha, kusimamia na kuendeleza Sekta ya Ushirika nchini kwa lengo la kuondoa umaskini na kujenga uchumi imara wa Wananchi.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamis Ulega ameyasema hayo wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Juni 27, 2023 katika Viwanja vya Nanenane Ipuli Mkoani Tabora.

Naibu Waziri amesema Serikali ina azma ya kuimarisha Ushirika kutokana na jitihada mbalimbali zinazoendelea ikiwemo kuimarisha na kukamilisha kanzidata na kusajili Wakulima nchini ili taarifa hizo ziweze kusaidia katika usimamizi wa Ushirika, usambazaji wa pembejeo na Viwatilifu kwa lengo la kuongeza uzalishaji na hatimaye kukuza masoko kupitia Ushirika.

“Sote tunatambua mchango wa sekta ndogo ya ushirika katika nchi yetu hasa katika kuleta maendeleo na kukuza uchumi wa nchi. Nipende kusema kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua kwamba, ushirika unasaidia watanzania hasa wenye kipato cha chini katika kukabiliana na umasikini” alisema

Aidha, amekitaka Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) kuendelea kutoa mafunzo ya Ushirika kwa Wanaushirika, Wadau na Umma ili Wananchi wengi waweze kuelewa Ushirika, kutambua fursa za kiuchumi zilizopo katika Sekta ya Ushirika na kuzitumia kuondoa umaskini.

Aidha, amesema kutokana na takwimu zilizotolewa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika (TFC) kuonesha idadi ya wanachama wa Vyama vya Ushirika imeongezeka kutoka wanachama 6,965,272 Desemba, 2021 hadi 8,358,326 kufikia Machi, 2023. Ongezeko hilo limetokana na uhamasishaji kuhusu umuhimu wa kujiunga na ushirika. Hivyo, suala kubwa ambalo Serikali inalisisitiza ni kuhakikisha wakulima, wafugaji na wavuvi wengi wanajiunga kwenye vyama vya ushirika.

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Irene Madeje kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamisheni Abdulmajid Nsekela amesema miongoni mwa vipaumbele vya kuimarisha Ushirika vya Tume ni pamoja na kuimarisha matumizi ya Mifumo ya TEHAMA katika usimamizi na uendeshaji wa Vyama hasa kupitia Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika unaosimamiwa na Tume.

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege amesema Tume imeendelea kusimamia Sekta hiyo kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuimarisha kaguzi katika Vyama, kuvunja Bodi za Ushirika pale inapohitajika, kutoa mafunzo na kuhamasisha uanzishaji wa Vyama, pamoja na kuhamasisha Amcos kuanzisha SACCOS.

Ufunguzi huo umehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wakiwemo Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Tabora, Mwakilishi wa Mrajis wa Vyama vya Ushirika Zanzibar Zainab Hassan, Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Wanaushirika pamoja na Wadau wa Ushirika. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Ushirika 2023 ni “Ushirika kwa Maendeleo Endelevu

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Vyama vya Ushirika Dkt. Benson Ndiege akieleza Jambo Kwa Wanaushirika wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho Siku ya Ushirika Duniani Viwanja vya Ipuli Tabora

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde (hayupo pichani) ,akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Ushirika leo Juni 27, 2023 katika Viwanja vya Nanenane Ipuli Mkoani Tabora kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde akiangalia bidhaa za wanaushirika katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani, Viwanja vya Nanenane Ipuli Tabora.

About the author

Alex Sonna