slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

pusulabet giriş

imajbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

betwoon giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

bets10

bets10

trust score weak 3

marsbahis

bets10 giriş

slot siteleri

lunabet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

kulisbet, kulisbet giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

sloto

royalbet

marsbahis

taraftarium24

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

betasus

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

sekabet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

grandpashabet

Hacklink panel

matbet

kingroyal

kingroyal

matbet

matbet

Casibom

Featured Kitaifa

RAIS MSTAAFU DKT.KIKWETE AIPONGEZA JKT KUANDAA MBIO ZA JKT MARATHON 2023

Written by Alex Sonna

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete,akizungumza na akiwaongoza  Viongozi, Majenerali, Maafisaa, Askari, Vijana, Watumishi na Wananchi mbalimbali walioshiriki Mbio za JKT Marathon 2023 zilizoandaliwa na Jeshi la  Kujenga Taifa (JKT) zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete ,akiwaongoza  Viongozi, Majenerali, Maafisaa, Askari, Vijana, Watumishi na Wananchi mbalimbali Kushiriki Mbio za JKT Marathon 2023 zilizoandaliwa na Jeshi la  Kujenga Taifa (JKT) zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete ,akiwaongoza  Viongozi, Majenerali, Maafisaa, Askari, Vijana, Watumishi na Wananchi mbalimbali kufanya mazoezi mara baada ya  kushiriki Mbio za JKT Marathon 2023 zilizoandaliwa na Jeshi la  Kujenga Taifa (JKT) zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete,akizungumza na akiwaongoza  Viongozi, Majenerali, Maafisaa, Askari, Vijana, Watumishi na Wananchi mbalimbali walioshiriki Mbio za JKT Marathon 2023 zilizoandaliwa na Jeshi la  Kujenga Taifa (JKT) zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa,akizungumza wakati wa hafla za Mbio za JKT Marathon 2023 zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Tulia Ackson,akitoa pongezi kwa JKT kwa kuandaa Mbio za JKT Marathon 2023 zilizoandaliwa na Jeshi la  Kujenga Taifa  zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Jacob Mkunda,akielezea jinsi  JKT Marathon inavyosaidia   kuibua vipaji mbalimbali vya wanamichezo nchini wakati wa hafla za Mbio za JKT Marathon 2023  zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akielezea  maadhimisho ya miaka 60 ya JKT wakati wa hafla za Mbio za JKT Marathon 2023  zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (hayupo pichani),akizungumza mara baada kushiriki  Mbio za JKT Marathon 2023  zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete,akikabidhiwa Tuzo maalum na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa mara baada ya kushiriki Mbio za JKT Marathon 2023 zilizoandaliwa na Jeshi la  Kujenga Taifa (JKT) zilizofanyika leo Juni 25,2023 Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa JKT Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

Na.Alex Sonna-DODOMA

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete amewaongoza  Viongozi, Majenerali, Maafisaa, Askari, Vijana, Watumishi na Wananchi mbalimbali katika Mbio za JKT Marathon  zilizofanyika Jijini Dodoma ikiwa ni shamra shamra za kuelekea maadhimisho ya miaka  60  tangu kuanzishwa kwa Jeshi la kujenga Taifa (JKT ) Maadhimisho yatakayofanyika Julai 10, mwaka huu.

 Mbio hizo zilihusisha makundi matatu mbio  za Kilomita 5, 10 na 21 zilianzia uwanja wa Jamhuri na kumalizikia katika uwanja huo.

Akizungumza mara baada ya kuongoza mbio hizo zilizofanyika leo Juni 25 katika Uwanja wa Jamhuri  Dodoma Dkt. Kikwete amesisitiza kuendelea kuibuliwa kwa wanariadha wengi zaidi ili kuendelea kuitangaza nchi kimaifa kama miaka iliyopita.

“Niwapongeze JKT kwa maandalizi mazuri mliyoyafanya haya yatasaidia kuibua vipaji zaidi na niwaombe wanariadha wakongwe na wanariadha wa sasa wenye umaarufu wasaidie kuhamasisha na kuibua vipaji vingine

Ameongeza kuwa “ Nchi yetu tunapenda sana mpira wa miguu (soka) lakini mchezo huu miaka ya nyuma imeiletea nchi sifa kubwa sana kwahiyo wanariadha maarufu washirikiane na viongozi kuhamasisha mchezo wa riadha” amesema Dkt. Kikwete.

Hata hivyo Dkt. Kikwete ameitaka JKT liendelee kufanya  mbio za Marathon mara kwa mara Jijini Dodoma ili Wananchi waweze Kushiriki na kuimarisha afya zao.

Amesema ni wakati kwa JKT mbali na malezi kwa vijana watumike kuibua vipaji mbalimbali kwa vijana hao ili kuweza kulileta sifa nzuri taifa letu kwa sababu nchi inavipaji vingi sana ambavyo bado havijaibuliwa.

“Tanzania lazima tuwekeze kwenye kuibua vipaji ili tuache kutegemea vipaji kutoka nje ya nchi, mfano kwenye mpira wa miguu ligi yetu inasifika lakini wanaoiletea sifa ni wachezaji wanje je wachezaji wetu wa ndani inakuwaje” amesema.

Kwa upande wake  Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itaendelea kuiwezesha JKT ili kuweza kuibua vipaji vingi vya wanamichezo hapa nchini ikiwamo riadha.

Amesema JKT imekuwa na timu na wanamichezo mbalimbali wanaofanya vizuri kwenye medani za michezo ikiwamo timu ya wanawake ya JKT Queen na sasa timu mbili za mpira wa miguu JKT Tanzania na timu iliyo chini ya JWTZ ya Mashujaa ya Kigoma.

Ameongeza kuwa “Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuendelea kuwekeza katika sekta ya michezo ikiwamo kujenga vituo vya kulelea vipaji mbalimbali ambapo vipaji vingi vitaibuliwa ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM” amesema Mhe. Bashungwa.

Naye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameishauri JKT wakati wakiadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake waangalie namna ya upatikanaji wa vijana hasa wa kujitolea kama utaratibu bado unatija, ili kupitia upatikanaji wa vijana pia utumike kuibua vipaji kwa vijana hao waweze kulisaidia taifa kupitia vipaji hivyo.

Kwa upande wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Jacob Mkunda amesema kupita JKT Marathoni imesaidia kuibua vipaji mbalimbali vya wanamichezo, mpaka sasa wameweza kuibua vipaji na kuendeleza vipaji mbalimbali.

 ”Mpaka sasa tunao wanamichezo wengi ikiwa katika soka tuna timu ya wanawake JKT Queen ambao ni Mabingwa wa ligi Kuu ya Wanawake, JKT Tanzania wanaume na timu ya Mashujaa ya Kigoma wanaamini timu hizo zitafanya vizuri.”amesema Jenerali Mkunda

Awali Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Mabele amesema maadhimisho ya miaka 60 ya JKT imeambatana na shughuli mbalimbali ikiwamo JKT Marathoni ikifuatiwa na maonyesho ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na SUMAJKT itakayofanyika kwenye jingo la SUMA JKT na shughuli nyingine zitatangazwa na JKT shughuli zote zikiwa zimelenga kuitangazia Dunia kuwa JKT inatimiza miaka 60.

Ameongeza kuwa “JKT itaendelea kuhamasisha shughuli za kimichezo hapa nchini ili kusaidia kuibua vipaji mbalimbali vya wanamichezo na kubainisha kuwa maadhimisho hayo yatakuwa ni endelevu ili kuendelea kuibua vipaji” amesema.

About the author

Alex Sonna