Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

1win

holiganbet

pusulabet

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

DIT KUZALISHA WATAALAM WENGI KUPITIA KITUO CHA UMAHIRI CHA TEHAMA

Written by Alex Sonna

 

Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inatarajia kutoa wataalam wa kutosha katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ngozi na nishati jadidifu vitakavyochochea ukuaji wa uchumi wa jamii na Taifa mara baada ya kukamilika kwa vituo vinne vya umahiri vinavyojengwa kwenye Kampasi Kuu na Mwanza.

Tanzania inatekeleza Mradi wa Kujenga Ujuzi kwa Maendeleo na Uingiliano wa Kikanda katika Afrika Mashariki (EASTRIP) uliofadhiliwa na Benki ya Dunia unaojenga Kituo cha Umahiri wa Tehama cha Kikanda (RAFIC), Kituo cha Kikanda cha Umahiri wa Teknolojia ya Ngozi (CELPAT), Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu Arusha na Kituo cha Umahiri cha Usafirishaji NIT.

Hayo yamesemwa leo na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa James Mdoe wakati wa ziara iliyolenga kutembelea eneo la ujenzi wa Kituo cha RAFIC kilichopo Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi kuu Dar es Salaam ili kuona hatua iliyofikiwa.

“kituo hicho kikikamilika tunatarajia kupata wataalamu wa kutosha kabisa katika masuala ya Tehama ambao sasa wataendana na mapinduzi ya viwanda” amesema Prof. Mdoe.

Ameeleza kuwa, lengo kubwa la kuanzishwa kwa vituo hivyo ni kuweza kuchochea ukuaji wa uchumi kwa kuwa kila kimoja kitakuwa na mchango chanya katika kutatua changamoto za jamii na pia kuchochea maendeleo ya taifa.

Amesema “maendeleo ya ujenzi huu wa Kituo hiki mahiri cha Tehama unaenda vizuri na tunatarajia utakamilika kabla ya muda uliopangwa ili wanafunzi waweze kupata fursa ya kupata ujuzi katika Tehama utakaochochea ukuaji wa uchumi hali kadhalika kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya viwanda”.

Aliongeza kuwa; “Mradi huu wa EASTRIP umeanza mwaka 2021 na tunatarajia utakamilika mwaka mwezi disemba mwaka 2024 huku akielezea majukumu makubwa ya mradi ikiwa ni pamoja na kusomesha wakufunzi, kuboresha mitaala na kuimarisha ushirikiano kati ya vyuo na viwanda ili wanafunzi watakaomaliza wapate ujuzi unaotakiwa viwandani,” alisema Profesa Mdoe.

Ameongeza kuwa matarajio ni kwamba kituo cha Tehama kitakamilika kabla ya muda uliopangwa na wanufaika 4,250 watazalishwa.

Kwa upande wake, Kaimu Mratibu wa mradi huo, Dk John Msumba amesema kuwa kituo hicho kikikamilika kitasaidia Watanzania katika kuongezwa uelewa wa masuala ya Tehama .

Dkt. Msumba ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Tanzu ya DIT, amesema Tanzania haitabaki nyuma kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda ambayo yanahitaji wataalamu mahiri katika matumizi ya Teknolojia kwa kuwa kupitia kituo hiki idadi kubwa ya watu watafikiwa na hii itapanua wigo wa kuwa wataalam hawa kwa wingi.

Afafanua kuwa Taasisi ya DIT imeaminiwa katika kusaidia vijana wapate elimu na ujuzi katika Tehama lengo likiwa ni kukuza uchumi na maendeleo ya nchi na ya mtu mmoja moja kwa ujumla.

Katika mradi huu, chuo kimepewa Sh bilioni 74 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha RAFIC ambao mpaka sasa umefikia asilimia sita ya utekelezaji na Kituo cha CELPAT ambao umefikia asilimia 20.

Pia serikali ilitoa Sh bilioni 37 kwa Chuo cha Ufundi Arusha ambacho kinajenga Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu ambacho kitazalisha umeme kwa kutumia nguvu za maji, mionzi ya jua, upepo, tungamo taka pamoja na kujenga mitambo itakayowezesha kuzalisha umeme wa nguvu za maji wa megawati 1.65.

About the author

Alex Sonna