Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power, mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Gran Melia leo Juni 22,2023 Jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power wakizungumza na Vyombo vya Habari katika Hoteli ya Gran Melia leo Juni 22,2023 Jijini Arusha .