Meridianbet inaendeleza ambacho imekua ikifanya mara kwa mara na sio kingine ni kurudisha kwenye jamii yake ambapo leo wametoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya mpira wa miguu ya T.Z .K FC ya mkoani Singida wakitoa mipira na jezi kwajili kusaidia timu hiyo katika kuhakikisha inafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.

Wataalamu hao wa michezo ya kubashiri na wenye ODDS KUBWA zaidi wametoa vifaa hivo kwajili ya kuhakikisha wanasaidia katika ukuaji wa michezo nchini, Kwani kusaidia timu mbalimbali za mtaani inaibua vipaji ambavyo baadae vinakuja kua sehemu ya msaada katika taifa.

Kipindi ambacho ligi zimemalizika, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet bwana Matina Nkurlu alizungumza baada ya kutoa vifaa hivyo kwa timu ya T.Z .K “Nina furaha kubwa kuweza kutoa vifaa hivi vya michezo kwa timu hii kwani naamini vitasaidia katika kuleta motisha kwenu na kupambana zaidi katika michezo yenu, Vilevile tunaunga mkono kauli ya Mhe. Rais Samia Suluhu ambaye anataka tusapoti michezo ili kuibua vipaji vitavyokua msaada kwa taifa siku za usoni” Alisema Bwana Matina Nkurlu

Msemaji wa timu T.Z.K Fc nae alipata nafasi ya kuzungumza na kuishukuru kampuni ya Meridianbet “Ninaishukuru sana kampuni ya Meridianbet kwa kufika kwenye timu yetu na kutoa msaada wa vifaa vya michezo ambavyo ni mipira na jezi ambayo itatusaidia katika michezo yetu na mazoezi ambayo tumekua tukifanya kila siku,Tungependa kuipongeza Meridianbet na kuwataka makampuni mengine kuiga mfano huu bora kabisa kwani kupitia nyie mnaonesha maana halisi ya kuiunga mkono jamii’

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Unataka kucheza kasino ya mtandaoni? Basi nenda Meridianbet wana michezo mingi sana ambayo ni rahisi kwako kushinda kama Aviator kwa dau la shilingi 200/= tu basi unaweza kuwa Milionea, Poker, Roullete, Piggy Party na mingine ambayo ni rahisi sana na pesa yake ni ya chap chap hakuna kusema unasubiri wiki au siku iishe.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kucheza michezo kibao ya kasino ambayo juzi hapa mteja kutoka kwa Aziz Ally alifanikiw akupiga kitita cha shilingi Milioni 20 wewe unasubiri nini?

 

 

Usikose kucheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette, Piggy Party, Pia Premium ambayo hiyo yote itakuwa karibu nawe wakati ligi zikiwa zimeisha na wewe utaweza kujipigia pesa huko.

Previous articleMAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA KKKT KIMARA
Next articleWIZARA KUPITIA BMT YAGHARAMIA TIKETI ZA TIMU YA OLIMPIKI MAALUM

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here