Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI TABORA UFUNGUZI WA UMISSETA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora leo tarehe 06 Juni
2023. Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora kwaajili ya Ufunguzi wa
Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika katika Uwanja
wa Ali Hassan Mwinyi.

About the author

mzalendoeditor