Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI  ATETA NA MWAKILISHI MKAAZI WA UNDP BI.CHRISTINE MUSISI IKULU ZANZIBAR 

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wa Maofisa wa UNDP, mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-05-2023.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor