Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Tunduru Kasikazini, Hassan Zidadu Kungu,  bungeni jijini Dodoma, Mei 31, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sikonge Joseph Kakunda kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

About the author

mzalendoeditor