Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATAKA MAKATIBU MAHSUSI NA WATUNZA KUMBUKUMBU KUDHIBITI SIRI ZA SERIKALI

Written by Alex Sonna

Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar. 

Wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama walipokua wakiimba wimbo wa taifa katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania (TAPSEA) na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Wanachama wa chama cha makatibu muhtasi Tanzania na (TAPSEA) na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA )wakifurahia hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa wanachama hao iliyofanyika viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi Idrisa Kitwana Mustafa Akitoa salamu za Mkoa wakati wa Hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania (TAPSEA) na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Makamo wa pili wa Rais Hemed Suleiman Abdulla katika hafla ya ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania (TAPSEA) na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA ) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar. 

Mwenyekiti wa Chama cha makatibu mahsusi (TAPSEA) Zuhura Songambele Maganga akisoma  risala kwa niaba ya wanachama hao katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka TRAMPA ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar. 

Wasanii wakiigiza igizo lenye maudhui ya maadili ya makatibu mahsusi wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka TRAMPA ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Wanachama wa chama cha makatibu muhtasi Tanzania  (TAPSEA) na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) wakifuatilia hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa Wanachama hao  ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Wasanii wa Mjomba band wakiimba wimbo wenye maudhui ya maadili ya makatibu mahsusi na watunza kumbukumbu wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Waimbaji wa  Kwaya wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Wakitoa burudani katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Management ya utumishi wa umma na utawala bora)  Goerge Simba Chawene akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar. 

Wanachama wa chama cha TAPSEA na TRAMPA Wakila kiapo cha uadilifu na utanzaji wa Siri za serikali wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya wanachama  hao huko viwanja vya  fumba Zanzibar  kiapo hicho kiliongozwa na Wakili wa Serikili Faraji Robet Nguka 

Wanachama wa chama cha TAPSEA na TRAMPA wakijaza hati za kula kiapo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya wanachama  hao huko viwanja vya  fumba Zanzibar.

Mkalimani wa lugha za alama akiwasaidia  Wanachama wa chama cha TRAMPA wenye mahitaji maalum kujaza hati ya kiapo wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya wanachama  hao huko viwanja vya  fumba Zanzibar.

Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar. 

Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi wa dini wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar.

Kikindu cha Ngoma ya kibati cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU Wakitoa burudani katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uadilifu na utunzaji  wa Siri kwa makatibu mahsusi Tanzania TAPSEA na menejimenti ya watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) ambapo kauli mbiu ni “nidhamu,uadilifu na utunzaji Siri za kazi ni chachu ya maendeleo kitaaluma” huko viwanja vya  Fumba Zanzibar. Mei 27,2023.PICHA NA FAUZIA MUSSA – MAELEZO ZANZIBAR

Na Rahima Mohamed/ Mwashungi Tahir -Maelezo    

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka makatibu mahsusi na watunza kumbukumbu na nyaraka kuzingatia miongozo na mipaka ya  taaluma zao ili kulinda siri za Serikali.

Rais Samia alitoa kauli hiyo leo wakati akifunga mafunzo ya makatibu mahsusi na watunza kumbukumbu na nyaraka wa Tanzania nzima katikav viwanja vya  Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Rais Samia alisema kazi wanayoifanya kada hiyo ni kubwa na muhimu katika utendaji wa Kazi za taifa na kuwataka kutunza kiapo walichokula ili kuendeleza kazi zao.

“Niwatake mzingatie weledi taaluma zenu na miongozo na mipaka ya kazi zenu kiutendaji. Mmekula kiapo cha uadilifu wakili amewaapisha mimi nikishuhudia kwahiyo mkienda kinyume na kiapo chenu tutajuana mbele kwa mbele,” alisema Samia

Aidha alisema anajua hali za kada hizo kwasababu na yeye alitokea huko alipokuwa Mtunza kumbukumbu na nyaraka na kwamba walisahaulika hivyo anawaahidi kuwanyanyua.

Akizungumzia kauli mbiu ya mkutano huo iliyosema, nidhamu uadilifu na utunzaji siri sehemu za kazi ni chachu ya Maendeleo kitaaluma, Rais Samia alisema sio tu ni chachu bali ni msingi mkuu wa maendeleo.

Alitumia fursa hiyo kuwataka waajiri wanaowauzuia wafanyakazi hao kushiriki mafunzo hayo yanayotolewa kila mwaka, kuwaruhusu kwasababu ndio njia pekee ya kada hiyo kuongeza ujuzi na weledi na kupata njia ya kupumzika kwasababu muda mwingi wanakuwa kwenye majukumu yao tofauti na kada zingine.

Aidha aliwataka mawaziri wanaohusika na utumishi kuzungumza na waajiri wa sekta binafsi kuwapa ruhusa watu hao pindi zinapotokea nafasi za mafunzo .

“Mawaziri mnaohusika zungumzeni na sekta binafsi waachie watu hawa wasiwazuie hii ndio fursa pekee ya wao kutoka nje maana kwa mazingira yao ya kazi hawana muda wa kutoka kama binadamu anatakiwa kupumzika na hii  ndio njia yao pekee ya kupumzika, Mawaziri shughulikieni hili,” alisema  Rais Samia.

Akizungumza kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe D.k Hussein Ali Mwinyi Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla alisema kada hizo ni muhimu katika utendaji wa kazi kwenye maofisi hivyo kuwataka watendaji kulinda haki zao.

Nae Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene alisema kada hizo ni injini za ofisi lakini zilisahaulika.

Alisema Chuo Cha Utumishi wa Umma Tabora kimekamilisha mtaala mpya ambao unatarajia kuzinduliwa Julai mwaka huu ambao utasaidia kuwainua kitaaluma.

Wakisoma risala za vyama vyao, walitaja baadhi ya changamoto zinazowakabili ikiwa ni pamoja na kukosa mafunzo na waajiri kuwanyima fursa washiriki hata pale yanapotolewa.

Mwenyekiti wa chama cha makatibu mahususi Tanzania (TAPSEA)Zuhura  Songambele Maganga aliomba kiazishwe chombo cha kitaaluma na mafunzo yatolewe hata kwa watendaji wengine kwani wakati mwengine taarifa zinavujishwa na watu wa kada nyengine ambao hawana taaluma za utunzaji wa kumbu kumbu .

About the author

Alex Sonna