Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,  amemteua Bw. Moremi Marwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya  Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA).  

Bw. Marwa ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza  (SHIMA).  

Uteuzi huu umeanza tarehe 14 Mei, 2023.

About the author

mzalendoeditor