Featured Kitaifa

RAIS DKT MWINYI AZINDUA MRADI WA KUWAJENGEA UWEZI VIJANA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na    na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana  wakati alipowasili katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki leo katika Uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP).[Picha na Ikulu] 17/05/2023.

Baadhi ya Vijana waliohuduria katika hafla ya  uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi wa mikutano wa  Golden Tulip Kiembesamaki leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake .[Picha na Ikulu] 17/05/2023.    

Mwakilishi Mkaazi  wa Benki ya Maendeleo Afrika ADB Ndg.Patricia N.Laverley(kushoto) alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (katikati) wakimsikiliza Mwakilishi huyo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023. 

Wakuu wa Mikoa ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika hafla ya  uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi wa mikutano wa  Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023. 

Baadhi ya Mawaziri na Watendaji mbali mbali katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi  wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika hafla ya  uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi wa mikutano wa  Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt,Mohamed Said Mohamed (Dimwa),Mwakilishi Mkaazi  wa ADB Ndg.Patricia N.Laverley(wa pili kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kulia) wakiwa katika hafla ya   Uzinduzi wa Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu (SEBEP) katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023.

Mwakilishi Mkaazi  wa Benki ya Maendeleo Afrika ADB Ndg.Patricia N.Laverley(kushoto) alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (katikati) wakimsikiliza Mwakilishi huyo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP)   katika Ukumbi wa mikutano wa  Golden Tulip Kiembesamaki leo.[Picha na Ikulu] 17/05/2023. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akimkabidhi zawadi  Mwakilishi Mkaazi  wa Benki ya Maendeleo Afrika ADB Ndg.Patricia N.Laverley, katika hafla ya  uzinduzi wa  Mradi wa kuwajenga uwezo Vijana ili wawezi kujiajiri na kuajirika katika sekta ya Uchumi wa Buluu  (SEBEP) uliyofanyika leo  katika Ukumbi wa mikutano wa  Golden Tulip Kiembesamaki,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa .[Picha na Ikulu] 17/05/2023.

About the author

mzalendoeditor