slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

slot siteleri

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

piabet

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA AKABIDHI PIKIPIKI 85 KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII  NCHINI

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa Pikipiki kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini iliyofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza wakati wa hafla ya ugawaji wa Pikipiki kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini iliyofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -Tamisemi (Elimu), Dk Charles Msonde,akizungumza wakati wa hafla ya ugawaji wa Pikipiki kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini iliyofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bw. Amon Mpanju,akizungumza wakati wa hafla ya ugawaji wa Pikipiki kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini iliyofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa Pikipiki kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini iliyofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Pikipiki kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini iliyofanyika leo Mei 17,2023 jijini Dodoma.

PICHA ZOTE NA ALEX SONNA

SERIKALI imegawa jumla ya pikipiki 85 kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini ili kuwezesha utekekezaji wa majukumu yao.
Akikabidhi pikipiki hizo zitakazokwenda kwenye mikoa 21  Halmashauri 47 na kata 85 nchini, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali inafanya jitihada kuweka mazingira wezeshi ya utendaji kazi wa Maafisa Maendeleo ya Jamii waliopo huku ikiendelea  kushughulikia changamoto ya upungufu wao.
Dkt. Gwajima amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia ajira 800 za Maafisa Maendeleo ya Jamii ambazo zitapunguza kwa kiasi kikubwa uhaba uliopo.
“Jitihada hizi zote zinazofanywa na Serikali  kwa lengo la kuondoa umaskini miongoni mwa wananchi, hususan wanawake ambao katika kipindi cha nyuma walisahauliwa katika elimu na mipango ya maendeleo hivyo kuwanyima fursa ya kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa Nchi yetu” amesema Dkt. Gwajima.
Aidha, Dkt. Gwajima ameongeza kuwa, Maafisa Maendeleo ya Jamii wamekuwa ni kiunganishi kikuu katika Jamii kati Wanawake na fursa za mikopo pamoja na wataalamu wa fani mbalimbali kwenye upatikanaji wa teknolojia sahihi za uzalishaji, uchakataji, masoko na vifungashio kwa Wanawake Wajasiriamali.
Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bw. Amon Mpanju,amesema kuwa lengo la Wizara  kushirikiana na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kununua pikipiki hizo zenye thamani ya sh. milioni 314 ni kuhakikisha Maafisa Maendeleo ya Jamii wanaamsha na kuchechemua ari ya maendeleo, kubainisha fursa zilizopo ndani ya jamii na kuhimiza kuzitumia.
Mpanju amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa mpango mkakati wa Taifa wa kuhimiza masuala ya maendeleo  ngazi ya msingi, kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii kurahisisha majukumu yao na kuiomba Ofisi ya Rais TAMISEMI kufanya mgao kwaku zingatia mahitaji halisi.
“Vigezo tulivyotumia ni kugawa pikipiki hizi kwenye mikoa yenye inayoongoza kwa vitendo vingi vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, kata zilizopo pembezoni na maeneo yenye Maafis Maendeleo ya Jamii wachache zaidi” ameongeza Mpanju.
Naye Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Charles Msonde amebainisha kuwa changamoto mojawapo ya Maafisa Maendeleo ya Jamii pamoja na uhaba ni usafiri ambapo kwa juhudi za Halmashauri hadi sasa zilizopo ni pikipiki 77 pekee.
Ameongeza kwamba, anatambua juhudi za pamoja za Serikali na  mageuzi makubwa hasa mapango wa taifa wa kusimamia maendeleo  ngazi yamsingi.
“Wananchi ndio wawe kitovu cha kuleta maendeleo kwa kuibua, kupanga na kufuatilia maendeleo yao hivyo wanahitaji mageuzi mapya kifkra” amesema Dkt. Msonde.
Dkt. Msonde amempongeza Waziri Dkt. Gwajima na Wizara anayoiongoza kwa jitihada wanazochukua  kuhakikisha pikipiki hizo 85 zinapatikana.

About the author

Alex Sonna