Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

Brain Savior Review

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

madridbet giriş

NervEase

hacker google hacked

sapanca escort

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Jojobet

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

tümbet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

tarafbet giriş

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

jojobet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

jojobet

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

mislibet giriş

holiganbet giriş

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

betist

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

casifix

robinbet

betkare

imajbet

betpark

betkare

matbet

Featured Kitaifa

MANISPAA YA SHINYANGA YAADHIMISHA SIKU YA FAMILIA DUNIANI

Written by Alex Sonna
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imeadhimisha Siku ya Familia Duniani katika Kituo cha Kulelea Watoto wenye Mahitaji Maalumu cha Buhangija pamoja na kutoa zawadi kwa watoto na akina mama katika Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Kambarage ambapo Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi amesisitiza wajibu wa usimamizi wa familia ni kila mmoja ili kuimarisha maadili na upendo kwa familia imara.
 
Maadhimisho ya Siku ya Familia katika Manispaa ya Shinyanga yakiongozwa na Kauli mbiu ya Mwaka 2023 “Imarisha Maadili na Upendo kwa Familia Imara” yamefanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi.
 
 
Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, Mhe. Samizi ili kuwa na familia zenye maadili na upendo serikali inapendekeza wanafamilia (Baba, Mama, Watoto,ndugu na jamaa wa karibu) kukaa pamoja ili kujadili mafanikio katika familia na kupongezana, lakini pia kujadili changamoto zilizopo ili kutafuta majawabu ya pamoja kwa amani na upendo ili kuendelea kudumisha mshikamano na maelewano ndani ya familia na jamii yote kwa ujumla.
 
“Katika Manispaa yetu ya Shinyanga maadhimisho haya ya Siku ya Familia Duniani yatukumbusha wazazi na walezi wajibu wetu wa msingi wa malezi ya watoto na familia hasa kwa akina baba kujua wajibu wao kama wazazi au walezi kwa Watoto katika maeneo makuu 3 ya msingi ambayo ni kumjali mtoto katika maeneo ya msingi, kumlinda mtoto dhidi ya ukatili na kuzungumza na mtoto mara kwa mara ili kufahamu changamoto zinazomkabili na maendeleo yake kwa ujumla”,amesema Mhe. Samizi.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi.
 
“Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Familia duniani mwaka 2023 isemayo “Imarisha Maadili na upendo kwa familia imara” inatumika kuwakumbusha wazazi na walezi umuhimu wa maadili mema na upendo miongoni mwa wanafamilia. Inazikumbusha familia umuhimu wa kuzingatia maadili mema ya Kitanzania katika malezi na makuzi ya watoto wetu”,amefafanua Mkuu huyo wa wilaya.
 
Ameongeza kuwa kauli mbiu hiyo pia inasisitiza upendo ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima inayopelekea familia nyingi kusambaratika na kuacha watoto bila uangalizi wa pamoja hivyo kukosa huduma muhimu.
 
“Familia ni chanzo cha jamii yoyote duniani,kwa kuwa kila mtu amezaliwa na amekulia katika Taasisi hii muhimu katika jamii. Familia inaundwa na Mume, Mke na Watoto na katika utamaduni wetu ndugu wa karibu wanakuwa sehemu ya familia. Majukumu ya familia ni pamoja na kutoa huduma muhimu zikiwemo mahitaji ya Watoto na familia, ulinzi na mawasiliano”,ameeleza.
 
 
“Siku ya familia inatoa fursa pia kujadili haki za kila mwanafamilia bila kujali hali yake ikiwemo watoto wenye ulemavu wa kila aina hata wa ngozi ambao katika sehemu nyingi hasa barani Afrika wamekuwa waathirika kiasi cha kupindukia kutokana na kasumba mbaya za ushirikina”,ameongeza Mhe. Samizi.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akimpa zawadi ya sabuni mama kwenye wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kambarage wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga.
 
Hata hivyo Mhe. Samizi amesema changamoto kubwa katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto ni ukimya unaotawala kwenye familia nyingi katika kutoa taarifa za vitendo vya ukatili vinavyofanyika ndani ya familia hii ikiwemo kuepuka kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mkosaji, mila na desturi,kuwepo kwa imani potofu zenye madhara zinazotekelezwa katika baadhi ya familia, uelewa mdogo kuhusu malezi chanya na mawasiliano duni miongoni mwa wanafamilia.
 
Aidha amesema ukosefu wa kipato au umaskini miongoni mwa familia zimepelekea wazazi na walezi wengi kutotimiza majukumu yao ya Msingi ya malezi.
 
 
“Hali hii ya umsakini imepelekea watoto wengi kujiingiza kwenye vitendo visivyofaa katika jamii, ikiwa pamoja na kuongezeka kwa utoro shuleni, kuongezeka kwa vitendo vya ukatili na maambukizi ya VVU”,amesema.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (kushoto) akiwapatia watoto zawadi ya juisi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
 
Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga John Tesha ambaye ni Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii amesema tarehe 15 Mei ya kila mwaka ni Siku ya kimataifa ya Familia, ambayo ilizinduliwa rasmi na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 1989 kwa lengo la kutoa kipaumbele juu ya masuala yote yanayohusu familia na jamii.
 
 
“Tumekutana hapa kwa ajili ya kukumbushana masuala ya familia ikizingatia hivi sasa tunakabiliwa na tatizo la malezi ambapo kuna mmomonyoko wa maadili. Ni jukumu letu sote kuhakikisha familia inakuwa katika maadili.
 
Maafisa maendeleo ya jamii wetu wanaendelea kutoa elimu ili kuhakikisha matukio ya ukatili wa kijinsia yanayotokana na ukosefu wa maadili katika familia na jamii kwa ujumla yanatokomezwa”,amesema Tesha.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, John Tesha.
 
Naye Mkuu wa Shule ya Msingi Buhangija Jumuishi ambaye ni Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu cha Buhangija Bi. Fatuma Gilalah amesema shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 967 kati yao wenye mahitaji maalumu ni 194 kati ya wenye ulemavu wa viungo ni 16, wasioona 30, viziwi 84, wenye ualbino 78 na mmoja mwenye uoni hafifu.
 
 
Tangu tarehe 15 Mei 1989 hadi 15 Mei 2023 ni miaka 34 tangu Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulipoweka Siku ya Kimataifa ya Família.
 
Umoja wa Mataifa umetenga siku hii kwa ajili ya kutoa fursa ya kuchagiza uelewa wa masuala yanayoath familia ikiwemo kijamii kiuchumi na kidemografia.
 
 
Kutokana na umuhimu wa familia kama chanzo cha jamii, Baraza kuu la usalama na Umoja wa Mataifa kupitia tamko Na. 4//23/ la tarehe 20 Mei la mwaka 1993 lilipitisha siku hii kuwa siku maalum kwa ajili ya kutathmini hali za familia na maendeleo yao.
 
Tanzania ikiwa ni miongoni mwa wanachama wa Umoja wa Mataifa iliridhia na imekuwa ikifanya Maadhimisho ya siku ya familia kwa kuratibu shughuli mbalimbali zinazohusu maendeleo ya familia.
 
 ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, John Tesha akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga
Katibu Tawala Wilaya ya Shinyanga Boniphace Chambi akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga

Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Buhangija Jumuishi Fatuma Gilalah akitoa taarifa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatatu Mei 15,2023 katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Mjini Shinyanga
Mwenyekiti wa Mtaa wa Bugwandege kata ya Ibinzamata Amani Abdalah akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mtoto Catherine James akitoa neno la shukrani kwa Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi kuadhimisha siku ya familia duniani katika kituo cha Buhangija.
Watoto wakitoa burudani ya wimbo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (kushoto) akiwapatia watoto zawadi ya juisi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (kushoto) akiwapatia watoto zawadi ya juisi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, John Tesha akiwapatia watoto zawadi ya juisi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mtoto akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yakiendelea
Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yakiendelea
Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga yakiendelea
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akiagana na watoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akiagana na watoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza na akina mama katika Kituo cha Afya Kambarage wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza na akina mama akizungumza na mama kwenye wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kambarage kisha kukabidhi zawadi ya sabuni wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akimpa zawadi ya sabuni mama kwenye wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kambarage wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akimpa zawadi ya sabuni mama kwenye wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kambarage wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akipiga picha na vingozi mbalimbali wa Manispaa ya Shinyanga wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akipiga picha na vingozi mbalimbali wa Manispaa ya Shinyanga wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani katika Manispaa ya Shinyanga.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
 

About the author

Alex Sonna