Featured Kitaifa

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR ATEMBELEA MALI ZA CHAMA WILAYA YA MJINI KICHAMA

Written by mzalendoeditor

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa CCM mbalimbali wakati alipowasili katika jengo la CCM Amani Mkoa akiwa katika ziara yake ya kutembelea Mali za Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 14/05/2023.

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa), (wa pili kushoto)alipokuwa akionesha kitu wakati alipotembelea mali za Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Afisi ya CCM Amani Mkoa katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (kushoto) Mwenytekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg,Talib Ali Talib na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 14/05/2023.

Makamo  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa,alipotembelea Sheli ya Mafuta Amani akiwa katika ziara yake ya kutembelea Mali za Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 14/05/2023. 

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akiangalia maduka yanayouza bidhaa mbali mbali pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa), (kushoto) wakati alipotembelea Mali za Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Afisi ya CCM Amani Mkoa katika Wilaya ya Mjini Kichama leo.[Picha na Ikulu] 14/05/2023.

About the author

mzalendoeditor