Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA TAASISI YA BINTI LINDI INITIATIVE

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea  tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitolewa  na  Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kija Yunus 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taasisi ya Binti Lindi Initiative kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanaharakati wa Masuala ya Watu wenye Ulemavu Sophia Mbeyele wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Taasisi ya Binti Lindi Initiative iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor