Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Michezo

WAZIRI MKUU ALITAKA BARAZA LA MICHEZO LA UMOJA WA AFRIKA KUKUZA MICHEZO

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Said Yakub  (wa pili kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela kabla ya kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri  wa Michezo  katika Kanda ya IV ya Afrika  (AU Sports Council of Ministers  Meeting – Region IV), Mei 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro akiwa njiani kwenda Arusha kufungua  Mkutano wa Baraza la Mawaziri  wa Michezo  katika Kanda ya IV ya Afrika  (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) kwenye ukumbi wa  Hotel ya Gran Melia jijini Arusha, Mei 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia ngoma ya asili ya Wamasai wakati alipowasili kwenye viwanja vya ukumbi wa Hotel ya Gran Melia jijini Arusha kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri  wa Michezo  katika Kanda ya IV ya Afrika  (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV), Mei 4, 2023. Kushoto ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Balozi Dkt. Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri  wa Michezo  katika Kanda ya IV ya Afrika  (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) kwenye ukumbi wa Hotel ya Gran Melia jijini Arusha, Mei 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

– Advertisement –

Ad image

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na washiriki wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri  wa Michezo  katika Kanda ya IV ya Afrika  (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) wakimsikiliza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassanwakati alipowahutubia kwa njia ya video, Mei 4,2023.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

………………………….

*Rais Dkt. Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza hilo.

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne kuweka nguvu katika kuhakikisha wanakuza na kuendeleza michezo kwa Ukanda huo.

Amesema hayo leo Alhamisi (Mei 04, 2023) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Jijini Arusha.

Amesema kuwa mawaziri hao wawekeze kwenye kujenga uwezo wa kitalaamu ili kuzalisha wanamichezo wanaoweza kuleta mageuzi kwenye Sekta ya Maendeleo ya Michezo na Maendeleo kupitia Michezo “Tusikubali kushika mkia kila siku na wala tusikubali kurudi nyuma”.

Amesema kuwa lengo la kila taifa ni kuona timu yake inashinda makombe ya Kimataifa hasa Kombe la Dunia. “Tukiamua kuwekeza kwenye miundombinu ya michezo na ujuzi pamoja na kushirikiana tunaweza kufikia malengo makubwa kwenye sekta ya michezo”

“Tunapaswa kufika mahali pa kuona kuwa Tanzania ikishinda wote tumeshinda, Uganda ikishinda, wote tumeshinda, Ethiopia ikishinda wote tumeshinda. Tushirikiane ili tuwe mfano na kielekezo kwa Kanda nyingine za Mabaraza ya Michezo ya Umoja wa Afrika”.

Katika Hatua nyingine, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wajumbe wa mkutano huo kuichagua Tanzania kuwa makao makuu ya Sekretarieti ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Ukanda wa IV katika uchaguzi utakaofanyia mapema leo Mei 04, 2023.

Amewaeleza wajumbe hao kuwa Tanzania ina kila sababu ya kupigiwa kura ya ndiyo kutokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuipa hadhi sekta ya michezo nchini.

Amesema kuwa uwepo wa mageuzi makubwa katika diplomasia ya michezo ya kimataifa ambapo chini ya uongozi thabiti wa Serikali timu za Taifa za Tanzania na vilabu zinafanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa “jambo hili linatia hamasa kwa wanachama kuona kuwa Tanzania inapiga hatua katika kuendeleza sekta ya michezo nchini”

“Uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali kwenye Miundombinu ya Michezo ikiwemo ujenzi wa Viwanja Vikubwa na vizuri vya Michezo vinavyokidhi viwango vya Kimataifa vya CAF na FIFA. Mathalan, Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa ambao hutumiwa kwa Michezo ya Kitaifa na Kimataifa ikiwemo Timu ya Taifa ya Brazili na Klabu ya Everton ambazo pia zimewahi kuutumia”

Katika Mkutano huo, Rais Dkt. Samia Aliwasilisha ujumbe maalumu kwa wajumbe na Mawaziri wa michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne kuichagua Tanzania kuwa makao makuu ya Sekretarieti ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Ukanda wa IV.

“Niwahakikishie kuwa Tanzania inauzoefu wa kuwa makao makuu ya taasisi mbalimbali za kimataifa, na pia Tanzania ina miundombinu yote muhimu ambayo itaiwezesha baraza hilo kufanya kazi kwa ufanisi” Amesema Rais Samia.

Naye Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Balozi Dkt Pindi Chana amesema kuwa tasnia ya michezo ni kati ya sekta ambazo inatoa ajira kwa vijana wengi “sekta ya michezo kwenye nchi wanachama ilitunga sheria ili kuendelea vipaji, michezo inaiunganisha Afrika kuwa moja”

Ameongeza kuwa wataendeleza mapitio ya sheria kanuni na taratibu ili kuendelea kuikuza sekta ya ya michezo kwa kuwa michezo ni biashara na chanzo cha uhakika cha ajira kwa vijana.

About the author

Alex Sonna