Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Viongozi wa Jumuiya hiyo Dr. Khalil Abdur-Rashid na Bi. Samia Omar.
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Aiwa na familia ya Bw. Maliva Augustine Mahiga, wanaoishi Boston, Marekani.
Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya wanajumuiya hiyo ya Waislamu ya Chuo Kikuu cha Havard, Boston